wana jamvi naomba tujadili hili kwa kina. Jana nlikuwa nikizungumza na jamaa ambaye sikumfahamu kwenye baa fulani. Wakati tunaangalia kampeni ya ccm iliyokuwa inarushwa na itv yule jamaa akasema...
Ndugu wana Jamvi,
Nimekuwa kimya kwa muda mrefu humu kwa sababu ya mwendo kasi wa maisha ulioongezeka ghafla.
Napenda kutoa mtazamo wangu juu ya suala la Mkapa kuingilia mambo yasiyomhusu.
Rais...
Katika kile kinachoonekana Chadema inaendelea kukubalika vijijini huko mbeya vijijini kijiji cha Ndola, Kata ya Nsalala mgombea wa chadema ameibuka kidedea kwa kupata kura 405 dhidi ya kura 288 za...
Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for...
nimeikuta leo hii kwenye facebook page inaitwa "Edward Lowasa the NEXT president of United Republic of Tanzania.
swali najiuliza ni kuwa je hii ni sawa? na je NEC inalijua hili? na inalisemea...
Wanabodi,
Inasemekana kuwa Shirika la Ugavi wa Umeme nchini Tanesco limeshindwa kununua mafuta kwa ajili ya mitambo ya kuzalisha umeme wa dharula.
Kwa mujibu wa mikataba ya uzalishaji wa umeme...
Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for...
Tangu kuanza kwa kampeni za nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali kwa mgombea wa Chadema Joshua Nassar,inaonekana kama vile wanausalama wa Chama...
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio...
Ilikuwa ni December 11, 2010 pale Kitabu kinachokwenda kwa jina la "A Political Biography of Jakaya Kikwete" kilichoandikwa na anayejiita prof Julius Nyang'oro kilipozinduliwa kwa "mbwembwe"...
Watu hawa ni viongozi maarufu kutokea katika kambi ya upinzani. Wengi wetu tumekuwa na matarajio kuwa, upinzani ndio utaleta ukombozi wa kweli katika nchi hii. Je, kati ya majogoo hawa wawili, ni...
Imekuwa ni kawaida ya magamba kumpeleka magufuli kwenye kampeni zao kwenda kuelezea mikakat ya ujenzi wa barabara na madaraja Kama mbinu za ushindi vip kipindi hichi kagoma nini?
Wanabodi nimefanya kautafiti kadogo cha kuwahoji baadhi ya watu toka Arumeru, Moshi, Baadhi ya waandishi wa habari, Arusha, Dar es salaam kwenye mtandao na face book na kufuatilia mtandao wa JF...
Waandishi Wetu
Arusha
Siyoi Sumari
HALI ya wasiwasi imezidi kuenea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na pingamizi jipya dhidi ya mgombea wao katika uchaguzi mdogo wa jimbo la...
Kanuni inaonyesha kuwa mtu anapotimiza malengo huwa na furaha, na anaposhindwa kutimiza malengo huwa na hasira (frustration).
Kwa Kiongozi, furaha huonekana kwa kuwapenda wasaidizi wake...
Katika hali inaoonyesha serikali ya CCM imeshindwa kapisa kuendesha nchi leo hii ninapoandika hakuna hospitali hata moja yenye dawa za chanjo kwa watoto...Hospitali nizopitia leo ni pamoja na...
Baada ya mapapa wa sisiem kuwarubuni kwa kofia,kanga+ tisheti ya njano na kijani wakazi wa wilaya hii ktk uchaguzi uliopita,Sasa wengi wa wakazi wa wilaya hii inayojulikana leo kama Wilaya...
Hivi chadema kama chama makini kikuu cha upinzani imekua ikifanya tathmini kila baada ya chaguzi mbalimbali kinazoshiriki kumalizika??
kama ndio je waliwahi pia kukaa chini na kufanya tathmini...
Dk. Makongoro aliibuka mahakamani hapo jana ghafla ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kesi hiyo ianze kusikilizwa ambapo alisalimiama na Mpendazoe, kisha baadaye wakati akiondoka, akamuomba...