Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Mar 14, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

  Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.


  Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

  CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
  mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Is true
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  umetoroka lini Mirembe mkuu??
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nyambafu kabisa low thinker
   
 5. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Usimtumie baba wa taifa kama kinga ya maovu yenu sasa nina uwakika angekuwepo leo hii angewawajibisha viongoz wote wahujumu uchumi.
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Baba wa Taifa alikuwa na nia nzuri ila aliangushwa na wale aliowapa nafasi za kumsaidia. Kwa hiyo CCM haina tatizo, ila wenye tatizo ni nyie viongozi wake. Hata nyie mnafahamu hivyo, ndio maana kwa kuliona hilo mmeanzisha dhana ya kujivua ghamba, endelea kujivua, ingawa ni vigumu kuondoa sumu, lakini itakuwepo kiasi ambacho sio cha kuua kama ilivyo sasa.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Too low for Great Thinkers kuchangia thread za kipuuzi kama hizi, best option ni kumpotezea tu mtu wa akili za aina hii kuliko kufanya unnecessary Arguments.
   
 8. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  We ndio **** wa kwanza!Mwalimu Nyerere mwenyewe kwa matamshi yake alipo ona chama kinataka kwenda sivyo ndivyo kwa kupandikiza mafisadi alisema kua c.c.m si mama yake,anaweza akarudisha kadi na akaachana nayo,walifyata mkia na kuondoa uozo wao mwalimu alioukemea
   
 9. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  sijui nini kimeni2ma nishome hu utumbo! Hv una akili timamu we shykwanza?yani una2ona ss watz ni wajinga kama ww? Tuungane kuiuza nchi yetu na kulipa kodi ziliwe na wajinga wajinga wachache kwa kujidanganya tuiunge ccm mkono? ULAANIWE MILELE NA KIZAZI CHAKO!
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na wasi wasi na uelewa wako muanzisha mada, eti wa sema ccm ni mama ni baba yako?


  Una kumbuka mwalimu aliwai kusema ccm siyo mama yake?
   
 11. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Jf Doctor njooni mwumtibu huyu Kiumbe kama ana akili timamu.
   
 12. s

  shykwanza Senior Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walowezi na wachimba madini wapo toka enzi za mkoloni na mwalimu
  Propaganda za Chadema zimewapumbaza kuona CCM ina Mafisadi
  Mwalimu Nyerere alikufa akiwa mwana CCM na atakumbukwa daima kama muasisi wa Taifa hili na Chama Tawala CCMKweli nimeamini wanachama, wapenzi na mashabiki wa chadema wamerukwa na akili
   
 13. r

  rchaga Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo ni kuruhusu simu zenye internet kutumika Mirembe au?? Huyo naona yupo Mirembe na hajapona! Unataka nishabikie mafisadi? Shame on you.....!
   
 14. s

  shykwanza Senior Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli CDM nimalimbukeni sana kila kitu kubisha tu ipo siku utabisha hata Mama na Baba yako sio wazazi wako kwa kuwa sio tu wafuasi wa chadema
   
 15. H

  Haika JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Samahani japo mie sio miongoni wa wanaopaka matope CCM, ila si mpenzi wa la mshabiki wao.
  Tafadhali rekebisha phrasing ya sentensi yako kwamba hiki chama ndio kile alichokianzisha Nyerere, si kweli, kile chama kilikufa na azimio za Zanzibar. mara tu baada wao wenyewe kushika hatamu.
  Mimi kama mtanzania kwa kumuenzi nyerere, nataka hiki chama kife, ili tuanzishe kingine kikiwa na sera za mwalimu wetu mpendwa.
  Kwa taarifa yako wenye kupinga CCM wengi hawako JF, wako mtaani huko, kila siku wanatuma laana, na kwa uhakika zitawafikia hao wanaodhani kuwa ile rangi na picha na historia ndio kumuenzi nyerere. Kumuenzi nyerere ni kwa vitendo vya kupigania haki ya wanyonge.
  wakulima na wafanyakazi.
  angalia migomo ya wafanyakazi walimu na madaktari, ndio utajua jinsi chama cha CCm kinavyoenzi wafanyakazi.
  Angalia wanavyorithishana uongozi, hata kwa watoto wao wasioelewa kuwa mtanzania nini kwani wamesomea nje, wamekulia nje.

  Kama ni laana inawapata walio bado ndani na washabiki wa CCM,
  Sijui wanajisikiaje wanavoiangalia ile bendera, wanavyoipeperusha huwa akilini mwao wanawaza nini??
  Huwa nashangaa sana,
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Kweli hata mimi nakuunga mkono ni malimbukeni, maana kama wanashindwa kukupuuza basi wao ni wapuuzi zaidi.
   
 17. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapa umepotoka kabisa. Ngoja tukukumbushe kidogo labda unaweza ukarekebisha kauli yako.
  Siku moja mwalimu alimuuliza simba wa vita mzee kawawa, namnukuu "Hivi Rashidi unaichukuliaje CCM yetu ya leo?"

  Rashidi akamjibu nanukuu "mimi ccm kwangu ndio mama na baba hata iweje mimi nitabaki kuwa ccm". Mwalimu akacheka sana akamwambia Rashid wewe umenizidi kwa sababu mimi ccm si mama wala baba yangu, nikiona ccm imekosa dira naondoka.

  Conclusion
  Ccm ya leo imekosa dira, wanaohama na kukichukia leo hii wanamuenzi mwalimu kwa 100%. Kwa hiyo hizo kauli ulizosema hazina msingi hata kidogo. Ilihali mwalimu alishasema ccm sio mama wala baba yake anaweza kuhama kama chama kitakosa muelekeo!
   
 18. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna ubaya gani hata kumpinga huyo Nyerere, kwani alivyokuwa hai hakuwahi kupingwa? yawezekana hujaijua historia vizuri. Ni Mungu tu asiyepingwa
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  shykwanza =aibu kwanza
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mtasema yote mwaka huu, lakini yote ni ya mfa maji. Nyerere mwenyewe enzi ya uhai wake alishawaambia: "ccm sio mama baba wala yangu", itakuwa vijana wa Kileo? Amini msiamini, kubali msikubali ila ukweli ni kuwa ccm iko kwenye "death bed" yake
   
Loading...