CHADEMA Yaitesa CCM Uchaguzi Mbeya

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Katika kile kinachoonekana Chadema inaendelea kukubalika vijijini huko mbeya vijijini kijiji cha Ndola, Kata ya Nsalala mgombea wa chadema ameibuka kidedea kwa kupata kura 405 dhidi ya kura 288 za mgombea wa CCM. CCM walikuwa wamechakachua uchaguzi wa awali ila chadema wakaendelea kushinda kwa kishindo. Tanzania Daima Uk 5
 
Hii habari iliwai letwa hapa jamvini siku chache zilizopita....otherwise salute to CDM.
 
Huko mbeya si ndio viongozi wa juu wanapopolewa mawe kila kukicha? na bado! watachezeshwa kwata sana mpaka magamba yavuke
 
Hii tayari ilishaletwa hapa.Mods unganisha hii thread na ile ya Chadema yashinda uchaguzi mbeya vijijini
 
Cdm mwendo mdundo,na ni dawa ya magamba hayapumui.Cdm wamalize cc mafisad.Hata kwenye mazsh ya magamba siendi ng'o!!
 
:lock1:
Katika kile kinachoonekana Chadema inaendelea kukubalika vijijini huko mbeya vijijini kijiji cha Ndola, Kata ya Nsalala mgombea wa chadema ameibuka kidedea kwa kupata kura 405 dhidi ya kura 288 za mgombea wa CCM. CCM walikuwa wamechakachua uchaguzi wa awali ila chadema wakaendelea kushinda kwa kishindo. Tanzania Daima Uk 5

hiyo mtanzania daima ya tarehe ngapi?
 
Anguko la CCM hata kwenye kaya ni good news kwa Taifa letu!! Kwenye familia yetu nafikiri sympather wa CCM amebaki mmoja tu. Amini usiamini hata mama yangu ambaye alikuwa Mwalimu miaka nenda rudi sasa hataki kusikia CCM!!
 
Back
Top Bottom