CHADEMA waiteka Ambureni

nsami

Senior Member
Jun 11, 2010
175
8
Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for real nimeaprciate wakuu.Kwa sasa nipo meru mashariki maeneo ya ambureni. Joshua Nassari amewashika vilivyo wananchi wa eneo hili.samahanini nimeshndwa kuambatanisha picha wakuu!
 
Tuko pamoja.
 
Igunga, Uzini kote mlijaza watu mikutanoni. Tatizo wafuasi wenu hawajajiandikisha kupiga kura
 
We need to redefine the meaning/definition of a THREAD! Hii nayo ni thread au status update ya facebook? We can do better.
 
Hapo kwenye RED; naipenda sana hii NADHARIA YA CCM kwa miaka mingi sana sasa maana imetumika vema kama msingi wa kutekelezea UCHAKACHUAJI katika chaguzi mbali mbali bila aibu.

Na tangu leo nitakua nikiliita UCHAKACHUAJI THEOREM (Mafilili et al, 2012). Big up sana mkuu kwa huu uvumbuzi wako wa fikra pevu kurefushia maisha UFISADI nchini!!

Igunga, Uzini kote mlijaza watu mikutanoni. Tatizo wafuasi wenu hawajajiandikisha kupiga kura
 
Duh ila jana nilikuwa naangalia TBC1 mikutano ya CDM ilikuwahaiana watu,Vicent Nyerere akadai muda na sehemu walizopangiwa vilichangia kukosa wahudhuriaji wa kutosha.TBC1 imekaa kishabiki kweli mkutano wa CCM haikuzungumziwa kabisa.Mzee wa Kiraracha jana alizindua kampeni za TLP mgombea wake anaitwa Chipaka nadhani ni mtu wa Malawi sijui kwanini Nassari hajamkatia rufaa ha ha ha ha.
 
Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for real nimeaprciate wakuu.Kwa sasa nipo meru mashariki maeneo ya ambureni. Joshua Nassari amewashika vilivyo wananchi wa eneo hili.samahanini nimeshndwa kuambatanisha picha wakuu!

Hapa tunakulelea sasa ukue na uweke mada zilizoenda shule na si takataka..Waepuke sana Wenye asili ya magamba..Tuntemeke, Malaria Sugu na vipepeo wengine wanaosuburia kukauka tuu
 
Igunga, Uzini kote mlijaza watu mikutanoni. Tatizo wafuasi wenu hawajajiandikisha kupiga kura

Hivi wewe unafikiri kila mwana CCM lazima aichague CCM!
Pale Moshi wafuasi wa CDM sio wengi kihivyo ila angalia matokeo yake! Arusha Hali kadhalika. Mifano ni mingi kamanda!
Watanzania wengi wanaangalia sera na wanataka kubadili mfumo uliopo. Kuna ambao hawezi kuhama kwenye vyama vyao kwa sababu wazijuazo wao ila mioyo yao iko kwengine.
 
Kamanda flani akisoma hapa anaewa agiza vifaru akijua wamekuwa alshababy.
 
Hapo kwenye RED; naipenda sana hii NADHARIA YA CCM kwa miaka mingi sana sasa maana imetumika vema kama msingi wa kutekelezea UCHAKACHUAJI katika chaguzi mbali mbali bila aibu.

Na tangu leo nitakua nikiliita UCHAKACHUAJI THEOREM (Mafilili et al, 2012). Big up sana mkuu kwa huu uvumbuzi wako wa fikra pevu kurefushia maisha UFISADI nchini!!

Hivi unaposema eti wanachama wenu hawajajiandikisha kupiga kura umejuaje? Je kwenye shahada pameandikwa jina la chama? Magamba mnatafuta jinsi ya kujitetea baada ya wizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom