Je huu ni mgomo wa wauguzi au ni serikali imeishiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni mgomo wa wauguzi au ni serikali imeishiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Mar 15, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Katika hali inaoonyesha serikali ya CCM imeshindwa kapisa kuendesha nchi leo hii ninapoandika hakuna hospitali hata moja yenye dawa za chanjo kwa watoto...Hospitali nizopitia leo ni pamoja na Kaloleni, Mount Meru, St. Thomas, Kwa Babu, SELIAN, Levolosi..Nilipo wauliza wakasema hawajui itapatikana lini ila wakatuomba tupite kila siku mbaya zaidi katika hospitali ya wilaya(Arusha) yaani Kaloleni hata mizani haifanyikazi kwa wiki sasa hali hio imepelekea watoto kutkupa huduma zote mbili muhimu yaani chanjo pamoja na kupimwa uzito..je mliko wilaya zingine au mikoani kuna hali hiyo au watu Arusha mjini tunafanyiwa uhuni na CCM.

  Na wasilisha
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah! Hii hatari mkuu,jaribu kwa dr.mohamed mkuu!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Umepita katika hizo hospitali kama nani? Mwandishi wa habari? Ananilea Nkya? , Hellen Bisimba? kwa kitambulisho gani kwa sababu huwezi kuongea na Uongozi wa taasisi yoyote bila utambulisho na kama hujaongea na uongozi wewe ni mpiga majungu tu. Tuambie katika hospitali fulani umeongea na fulani kama msemaji wa hospitali ili tukuamini. Nenda arumeru wanakusubiri Mkatukane wakati mwenzenu SIOI akimwaga sera.
   
 4. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ilishaishiwa siku nyingi sana, wewe ndio unajua leo? Pole sana, hawa ndio Magamba.
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  unatoka chooni hujananii nini make sijui unaogelea nini!we unadhani wenye haki ya kupita hospitalini ni ni watu amaalum?hujui una haki ya kujua kodi yako inatumikaje?we chizi kweli!
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Taswira katika taifa.. halafu madr wakigoma kuboresha sekta ya afya wanaitwa wauaji! Serikali yetu ni wauaji wakubwa
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nimepita kwenye hospitali husika kama mtanzania...Hii topic haihusiani na mambo ya Arumeru na kutukana kwangu
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tatizo ya watu waliko CCM akili zao hazifanyikazi na hutumia makalio kufikilia, kiasi kwamba hulazimisha nyekundu kuwa njano kitu ambacho hakiwezekani
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimefika hata kwa Dr Mohamed hakuna chanjo.....
   
 10. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  La ni unjia panda!
   
 11. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Hospitali zote za serikali au baadhi? nadhani ungesema kuwa hospitali za baadhi ya wilaya au mkoa etc etc na SIYO ZOTE ! unapotosha
   
 12. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...thatha twajua kuwa akili zako umezibinafsisha kwa m.a.g.a.m.b.a kwa hiyo kila kitu kinacho-hijita uelewa lazima ukimbie ukaombe kibali kwa hao waliokushikia akili...we endelea kushikiwa akili,tuache tunaomiliki akili zetu tutafakali na hatmae tuchukue hatua ya kujikomboa...hatuhitaji kibali cha hao watwana wako kuuona ubadhilifu,uzembe,ufisadi na ulegelege wa hii serikali yako ya m.a.g.a.m.b.a..."thatha amka mdogo wangu"...waambie hao m.a.g.a.m.b.a wakupe kibali cha kusikia japo kwa dakika moja tu,ili uweze kuisikia sauti hii ya ukombozi inayokuita...
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama hayo yako ni sawa si ungemuelekeza hizo hospitali zenye dawa ?
   
 14. m

  mzizi dawa Senior Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ao magamba wote pumbavu wakubwa,kila kitu wana pinga,ccm imechoka na serekali yake imechoka wakubali wakatae,wezi wakubwa pesa zavuja jasho zipo mifuko mwao.
   
 15. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,636
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  Unashangaa kukosa chanjo? Labda kwasababu zinaagizwa nje ya nchi,kadi za watoto na wajawazito(makaratasi yanayochapishwa hapa tu) hakuna tangu septemba mwaka jana!
   
 16. K

  Kwetu mbali Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Heshima Watanganyika... Tetesi zilizopo ni kwamba Hazina wamefulia... ata mishahara ya watumishi wanasikilizia
  TRA wakusanye ndiyo w/kazi walipwe.
   
Loading...