Ni kweli wananchi wa kipato cha chini ndiyo wanao chagua ccm?

matamvua

Member
Nov 6, 2011
44
10
wana jamvi naomba tujadili hili kwa kina. Jana nlikuwa nikizungumza na jamaa ambaye sikumfahamu kwenye baa fulani. Wakati tunaangalia kampeni ya ccm iliyokuwa inarushwa na itv yule jamaa akasema masikini(watu wa kipato cha chini) ndiyo mashabiki na wanaoipigia ccm kura. Akaendelea kusema pamoja na ugumu wote wa maisha na vitu kupanda bei kwa kasi wao hwaoni kama chanzo ni ccm(serikali) akasema pia sukari hata iiuzwe 10000 kwa kilo yeye na watoto wake watakunya chai hao wenyekipato cha chini shauri yao. Tutafakari na tuchuke hatua. Mnasemaje hapo?
 
Back
Top Bottom