Wahusika wa usalama Chadema mko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahusika wa usalama Chadema mko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjukuu wa bibi Pili., Mar 15, 2012.

 1. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu kuanza kwa kampeni za nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali kwa mgombea wa Chadema Joshua Nassar,inaonekana kama vile wanausalama wa Chama wanashindwa kushauri mambo muhimu na ya usalama kwa mgombea wetu.

  Niwakumbushe kidogo hapa wajibu wenu licha ya kwamba mimi sijasomea hayo mambo. Tumeona mgombea akiruhusiwa kubebwa juu mara kadhaa, ni kweli hilo jambo jema kwa kuwa wapiga kura wanamkubali sana, hali inayowapatia vichomi chama cha kijani. Naombeni msiruhusu tena hiyo hali kwa kuwa mtu anaweza kujipenyeza kama mshabiki kumbe ni pandikizi na akamfanyia kitu kibaya mgombea wetu.

  Pigeni marufuku mara moja hiyo hali na ulinzi wa red guard uongezwe kwa mgombea ni hayo tu.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  huyo mtu hajipendi!
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wamekuelewa nafikiri
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Noted!
   
 5. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote hayo yanazingatiwa
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi nini kilitokea jana kwenye kampeni za CDM? Ilikuwa purposely done au vipi manake niliona kwenye TV kama vile kampeni hazikuwa organised jamaa anazunguka zunguka tu mara shuleni mara sokoni bila utaratibu unaoeleweka.
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Advice noted. Lakini ondoa shaka kuhusu usalama wake.
   
 8. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,969
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  usaLama gani wa mgombea wa chadema kweli ndoto za kufikirika nani atamdhuru si lolote si chochote
   
 9. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinga ni bora kuliko tiba.
  Nimeona pia wakimshika kichwani, ni vizuri lakini tuwe na tahadhari ndugu zangu.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Watu walishudia Gari la Mrema likisukumwa toka DIA hadi makao ya ya NCCR-MAGEUZI kwa wakati huo, lakini aliishia kunawa mkuu. Huyu NASSARI ameshaonesha ni LEMA type akili zake si za Maendeleo kwa Wana-Arumeru subirini muone atakavyoangukia pua. Huwezi kutafuta umaarufu kwa kubebwa. Sera kwanza kwa wananchi. Nasikia kuna kundi maalumu limeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha abebwe, abebwe , abebwe. Sio kusudio la wananachi.
   
 11. ras mkweli

  ras mkweli JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hureeeeeeeeee
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Waliwapngia makusudi maeneo ya shuleni, hivyo haikuwa rahisi kuendesha mkutano wakati wanafunzi wakifundishwa darasani. CCM wana mbinu nyingi.
   
 13. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  magamba hamueleweki ninyi,mnaweza mkamwakyembee mgombea wetu,na tena hatuwapendi sana na tena subirini tu!
   
 14. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tatzo la ugonjwa wa mawazo mgando katika tz bado ni sugu,yataka moyo kuwa na watu wa jamii hii katika jamii,sisi m hamna chenu katka karne hii,mshajichokea wenyewee zamaan!,kwa sasa mnapumulia mipira.
   
 15. s

  shykwanza Senior Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana Chadema ilikosa watu katika mikutano yake ndio ikamulazimu Mgombea wao kujipitisha pitisha katika masoko, shuleni na misibani hakika upepo kwao unaweendea vibaya sana
   
 16. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dawa yao imeshaiva bado kuwanywesha tu .....easubiri kidogo
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kuna kila dalili ya wivu hapa
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Ulitegemea uone organization nzima ya kampeni kwenye TV, sitegemei kuwa hii ni akili yako au unauliza kwa niaba ya kina ritz na Rejao.
   
Loading...