Wakuu! Magufuli ataenda Arumeru kuahidi?

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,998
6,659
Imekuwa ni kawaida ya magamba kumpeleka magufuli kwenye kampeni zao kwenda kuelezea mikakat ya ujenzi wa barabara na madaraja Kama mbinu za ushindi vip kipindi hichi kagoma nini?
 
anaweza kwenda tu mkuu, si unajua sisiemu wameshawaona wabongo bado ni walewale, wa kuua kudanganya, kudhulumu rasilimali zao, kuwaongopea miaka na miaka... sisiemu hawana aibu hata kidogo, na hakuna aliyemsafi hata mmoja.. wote ni wakunyonga tu. ova
 
sisiermu ni janga la kitaifa
 
Si c em watajibebaje!!,itakuwa ni historia kama kenya kwenye chama cha K..A.N.U.Ujanja wa magamba ni kuwadanganya wajinga ambao ulikuwa mtaji wao na sasa watu hadi walowanyima elimu tayari wameshaelimika zamani na zile shule za kata zinawakata kweli!.Kazi wanayo mithili ya kufukuza upepo
 
Back
Top Bottom