Kwa wenyeji wa Wilaya ya Arumeru Magharibi ni muhimu hili kufanyika haraka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenyeji wa Wilaya ya Arumeru Magharibi ni muhimu hili kufanyika haraka!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by LiverpoolFC, Mar 13, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Baada ya mapapa wa sisiem kuwarubuni kwa kofia,kanga+ tisheti ya njano na kijani wakazi wa wilaya hii ktk uchaguzi uliopita,Sasa wengi wa wakazi wa wilaya hii inayojulikana leo kama Wilaya Arusha,Hakika nimejaribu kusema na wenyeji wa kijiji cha Mateves na kata ya Kisongo kwa nyakati tofauti.

  Hakika hawa wenyeji wameongea kwa machungu sana.
  Na wakilaani kura walioipigia sisiem ktk uchaguzi uliopita.
  Waliendelea kusema ya kwamba tangu wampe kura hajawahi kuweka mguu ktk kata zao ambao alikuwa hakati mguu akiwalilia wampe kura na sasa hawakumbuki tena.

  Wametamani mabadiliko yaje mapema iwezekanavyo,wameendelea kuongea kwa machungu hasa ukizingatia vitu kupanda bei kila kukicha.
  Wenyeji hao wameitaka vya vya upinzani wafike huko mapema sana iwezekanavyo.

  Angalizo!

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo wanyanyuke na wawasalimie wenyeji kama ilivyo ada ya chama makini kwn hakika watu wametaka mabadiliko.

  Wenyeji wote wametaka mabadiliko ya kweli!

  MABADILIKO NI SASA NA KAMA SI SASA NI SASA HIVI,HAKUNA LISILOWEZEKANA!
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,428
  Trophy Points: 280
  tanzania ya leo haina wilaya kama hii.go and do your homework
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  acha kuvuta ugoro,error ni kawaida
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  We unafikiri nimekuja humu jamvini kama ilivyo ID yako? (jingalao) badili ID haraka dogo.
  Sipendezwi muda mwingine nikukute jukwaani kwa jina hilo!
   
 5. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kweli hlo jingalao wajinga
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kamanda! Humu jamvini kuna watu mizigo cjui wameingiaje humu jamvini,sijui kama ni akili zao.

  Hebu ngoja tuwasikilizilie!

  Ila hakika hali siyo yenyewe Wilaya ya Arusha kwa jinsi nilivyowaelewa wale wanainchi wa kata zile!
   
 7. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam kwenu wakuu\;

  Tatizo humu jamvini watu wa leo wamejawa na mipasho, hasira na giliba zisizo na tija! Busara ni pale unapoona mwenzio kakosea rekebishe then endelea na lile la msingi nianze hivi Arumeru kuna Wilaya moja yenye Mkuu wa Wilaya mmoja ila zina Halmashuri mbili zenye Wakurugenzi wawili ambayo ni ile Halmashauri ya Meru na ile ya Arusha Vijijini (hili ni la ufafanuzi)

  Lakini la pili ndugu yangu Liverpool hakuna kata ngumu na za ajabu kama Kisongo na Mateves tena wakati ule walisema wanampa muhusika kura kwa kuwa ni mtu wa kwao(Kisongo) akisadiwa sana na Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya husika ambaye naye na wa huko Kisongo. Na ukifuatili vizuri utaona katika kura za maoni muhusika alipata kura nyingi sana kutoka Kisongo na kata jirani ya Musa. Walijawa na undugu na mambo mengine ya ajabu so they might be harvesting their own sin.

  Pamoja na rai yako kwa CDM rai hiyo iwe katika misingi ya CDM kuendeleza mitandao yake na si kwa maneno ya hao watu ni afadhali mara mia ukasikiliza watu wa Sambasha ama Bangata ama Sokon II kuliko hizo Kata ulizozitaja...........
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hakika ukombozi unahitajika! Ndugu zangu wa Kisongo (eneo langu la kujidai na ninalojivunia) mabadiliko yanahitajika!
   
 9. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,053
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Ningependa tujadili HOJA pamoja na mapungufu ya uandikaji au jina la mtu!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hakika ktk zile kata kuna mambo ya uenyeji sana ambao umewagharimu kitambo sana!

  Na hata hilo nimejaribu kuwauliza nikiwaambia,huyu Mbunge Ole Medeye si mmemchagua wenyewe?
  Wakajitetea kwa kuapa na kumlaani kbs huyu MB kwa kuwatenga kbs.

  Na mwisho wa yote nikawauliza sasa hv uchaguzi ukifika hatarubuniwa tena na uongozi wa ccm?

  Wakanihakiki ya kwmb kamwe hawataki hata kuisikia au acha wafikiwe na uongozi huo wa majambazi.

  Kazi kweli kweli!
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mwaka 2010 watu tulizawadiwa t-shirts, kofia, binafsi nilitoka na zaidi ya kilo mbili na kura zilienda kwa Lema. Usijali kamanda wananchi pokeeni kodi zenu kura kwa Joshua.
   
 12. L

  Laptani Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli kata za sokon II ambayo tayari wana diwani wa CDM inafaa kunzia kuwasha moto pia kata ya Bangata nao vijana wana muamko mno; kata za Kisongo, Mateves, Musa na zingine zinakaliwa na Waarusha wenye misimamo na watu wa kwao hivyo kupiga kambi kuwaelimisha ni jambo la busara na faida kwa upinzani.
  NAWASILISHA
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kweli Kamanda! Tena inahitajika mwamuko wa haraka sana!

  Na sijui itakuwaje maana yule mbunge wa CDM ktk uchaguzi uliopita alirubuniwa na magamba na mpk sasa hatuna mbunge.

  Ni CDM kujipanga upya!
   
 14. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni saa ya ukombozi halisi wa mtanzania wote tupaze sauti zetu kwa pamoja kuikataa ccm na kuchagua CDM tumaini jipya la watz
   
Loading...