Kwanini CHADEMA ilishindwa Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA ilishindwa Igunga?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KIM KARDASH, Mar 15, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hivi chadema kama chama makini kikuu cha upinzani imekua ikifanya tathmini kila baada ya chaguzi mbalimbali kinazoshiriki kumalizika??

  kama ndio je waliwahi pia kukaa chini na kufanya tathmini kitaalamu kuangalia ni vipi walishindwa vibaya igunga?Nasema hivi ikiwa ni angalizo ili sababu zilizowacost kwenye uchaguzi wa igunga zisijirudie tena kwenye chaguzi nyingine ndogo na kubwa ikiwamo hii ya Arumeru ambapo naanza kuona kama mambo ya Igunga(kufanya siasa za PERSONALITIES kwa kudeal zaidi na MWIGULU na mambo yake na kuacha siasa za ISSUES)yakishika kasi sana,japo sielewi haya mambo ni humu tu jamii forum au hata huko site nako watu wa chadema wana deal zaidi na mwigulu,kama mpo mlioko huko kwenye uwanja wa mapambano hebu mtujuze.

  Nawasilisha.
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Wapiga kura mbumbumbu walizidi idadi ya wale walio na uelewa! simple
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Sina kumbukumbu sahihi kuwa CDM walishindwa uchaguzi huko Igunga....labda sikumbuki
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo wewe kumbu kumbu zako zinaonyesha mbunge wa igunga anatoka chadema kama wale wengine ambao mpaka leo wanaamini slaa ndio rais wa tanzania?
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi ninachokumbuka tuu ni utekaji na mauaji ya kikatili yaliyo fanywa na polis kwa mtu aliyekuwa yupo upande wa chadema
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Chadema hawakushindwa,bali walifanyiwa hujuma,kwani hukumbuki kwamba Nape alitoa matokeo kabla ya kura kuhesabiwa?
   
 7. B

  Benaire JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  CHADEMA ilishindwa kihalali kabisa Igunga kwa kuwa imeshindwa kupenyeza siasa zake kwa wananchi wa vijijini.....bado kuna watu wanaamini wapinzani ni wahuni,hawana hela wataendesha vipi serikali,CCM imewazaa,Ukichagua upinzani serikali inawapotezea na nchi inaweza ingia vitani....hizi poor ideologies ndio sababu kuu ya CDM kushindwa Igunga.
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  umeongea mambo mazito sana ama kwa hakika kama chadema wangekuwa wanafanya tathmini baada ya chaguzi wangeyabaini na kuyashughulikia haya kuliko kujidanganya na hadithi ya kuibiwa kura,kura unaibiwaje?

  Na pia wangeacha kufanya siasa za kudeal na watu badala ya issues, na pia mwenyekiti wao asingetoa kauli ya kwamba eti mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 30 wa ccm,ile ni kauli ya ulevi wa kuridhika na mafanikio madogo yanayowapatia ruzuku.
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na huyu je humkumbuki??au kwa kuwa hakua wa chadema?  [h=3]KADA WA CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI na WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA BAADA YA MATIBABU[/h]

  [​IMG]
   
 10. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau je hamjui janja ya CCM, huyu ni wa ccm na iliyemwagia tindikali ni wa ccm ilikujitafutia umaarufu. waweze kumuuwa baba jkn sembuse kumwagia mwenzao tindikali. Ndugu sisi tunauelewa wakutosha kabisaa sikiliza HATUDANGANYIKIIIIIIIII.
   
 11. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hapa unaongelea jambo ambalo hulijui kabisa. Je una hakika ni kweli CDM walishindwa igunga? Unajua kuna mengi sana yanafanywa na hii serikali, mimi huwa nashangaa sana kuyashuhudia mambo kama hayo.
  Kuhusu uchaguzi wa igunga mkuu wewe acha tu kwani kuna uhalifu mkubwa sana umefanyika. Siku itakapoanguka hii serikali mambo mengi sana ya aibu mtayasikia.

  Kwa kifupi mgombea wa ccm hakushinda uchaguzi bali alitangazwa mshindi na msimamizi wa uchaguzi.
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo chadema inayaficha hayo maovu mpka siku ccm ikishindwa ndio itaanza kuyatoa hadharani ?basi kama ndio hivyo ushindi wa upinzani hususan cdm uko mbali sana kwa kuwa kinalea uovu wa ccm kwenye chaguzi ambao ccm wataendelea kuufanya kwa kuwa wananchi hawaujui ila chadema wanaujua lakini kwa kuipenda sana ccm ili isihadhirike wanaamua kumezea
   
 13. commited

  commited JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  daaha kaka umeniwahi.. sijui watu wanataka waelezwe vip waelewe.. CCM NA WATU WAKE WOOOTE NI JANGA LA TAIFA.. KUICHAGUA CCM NI KUCHAGUA UMASKINI, MARADHI, RUSHWA, UJINGA, UPORAJI WA RASILIMALI ZETU, MAUAJI NA KADHALIKA, KAMA WAMEMUUA MTU ALIYEPIGANIA UHURU WA NCHI YETU, WAMEMUA KORIMBA, KOMBE.. SASA WANAUANA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUWEKEANA SUMU KWENYE MATAULO KWENYE OFISI ZAO WATASHINDWA KUMFANYIA MTU WA KAWAIDA. SISIEMU NI ZAIDI YA JANGA LA KITAIFA.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu big up. CHADEMA hawana jipya. Hiyo ndiyo sera yao kubwa. They are always dealing with people and not issues. Sasa watamtambua SIOI wanaona aibu kuwepa picha za kampeni za ccm humu JF sisi tulioko huku Arumeru ni noma. Tena wasije wakasubutu kuna na vimaneno vya kuwa wameibiwa Kura. Safari hii hawaambulii hata robo ya kura zote. Sababu kubwa ni hiyo hiyo ya kampeni za kutukana badala ya sera.
   
 15. C

  Chadema Msasani New Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imefikia hatua tukubali kwamba Demokrasia ya kuchagua sera Tanzania bado sana. Kama chama shindani kina kuonyesha njia mbadala wanayo weza kutumia kuboresha maisha yako, ambayo hupatikana kwa kura yako tu haieleweki, na bado watu wanashabikia CCM kwa kutishiwa uharibifu wa amani. CDM tuna kazi kubwa sana ya kuelimisha mashabiki.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Bakwata,vyombo vya dola na nec wanayo majibu ya maswali yako.
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ulitaka hiyo tathmini upewe wewe au ipewe CCM?

  Huku ni kushindwa vibaya kumbe! Pamoja na kutokuwa na matawi,ofisi ya wilaya,kuibiwa kura nk?

  Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
   
 18. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi pia naamini ivyo mpaka leo
   
Loading...