CHADEMA waiteka Ambureni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA waiteka Ambureni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nsami, Mar 15, 2012.

 1. n

  nsami Senior Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for real nimeaprciate wakuu. Kwa sasa nipo meru mashariki maeneo Hellow ya ambureni.

  Joshua Nassari amewashika vilivyo wananchi wa eneo hili.samahanini nimeshndwa kuambatanisha picha wakuu!

   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,400
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Bisha kwanza hodi usivamie jukwaa kihivyo
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Asante kwa taarifa
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,860
  Likes Received: 2,020
  Trophy Points: 280
  Bravo!!! ila picha zingesema zaidi ya maneno. Tunashukuru kwa taarifa ingawa CCM hawapendi kusikia haya.
   
 5. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 680
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  unajitahidi,japooo unataka kuingia chumbani bila taarifa
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hodi itafuata baadae taarifa kwanza
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,579
  Likes Received: 1,645
  Trophy Points: 280
  Aribu, jitahidi kusoma rules za jamvi, aksante kwa taarifa
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa kasi yako uliyoingia nayo ila omba radhi wakubwa maana
  1. Hujabisha hodi!!
  2. Hujasalimia
  3. Hutuambia kuwa ni member mwenzetu
  5. Kazana utatisha!
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Wewe ni Anthon Nsami uliyewakimbia magamba na kuhamia CDM?
   
 10. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hadi raha kaza buti mbaba kutupa hzo info.Jamani hii nayo ni mashine!Ma..Ga..M.Ba wanashughuli ngumu.
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  karibu sana nsami, humu kuna kila aina ya watu! wasikuchoshe, fuata sheria za jamvi utapenda mwenyewe!!
   
 12. s

  shykwanza Senior Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sema kweli msafara wa Nasari na CDM yenu umezomewa ulipokuwa ukiingia kitaa cha amburueni hadi kudikia baadhi ya viongozi kulalamika katika ofic ya kata. Habara zilizopo sasa wakazi wa eneo hilo hawataki kabisa CDM wafanye mkutano wao wa kampeni kwani wanaposha umma
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Ujumbe tumeupata lakini badilisha rangi ya mandishi mkuu........................
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Hebu kajifunze kuandika vizuri zuzu wewe....
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,770
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Ondoa unya..fu hapa
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Tukumbushe post yako ya kwanza
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  member anasoma rules wakati anajiunga peleka upuuzi wako huko.
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,457
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  No wonder ENL kakatiza matibabu na kurudi.. kumbe kijana wake kazidiwa huko eeeeh?
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Yupo Kamanda nimewasiliana naye Muda mfupi ujao atarusha picha humu
   
 20. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hahahahahah!umenichekesha kweli kiongozi
   
Loading...