Utafiti: Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeri Mkapa amekibomoa zaidi CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti: Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeri Mkapa amekibomoa zaidi CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MASEBUNA, Mar 15, 2012.

 1. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabodi nimefanya kautafiti kadogo cha kuwahoji baadhi ya watu toka Arumeru, Moshi, Baadhi ya waandishi wa habari, Arusha, Dar es salaam kwenye mtandao na face book na kufuatilia mtandao wa JF wameonaje ufunguzi wa Mkapa kampeni ccm je ameweza kuijenga ccm au amezidi kuiporomosha.

  Utakumbuka utafiti wangu huu unategemea makala iliyoandikwa na Mwandishi Karugendo kwenye gazeti la Tanzania Daima la wiki iliyopita ambayo niliipost hapa ambayo ilihoji umakini wa ccm kumpa Mkapa mikoba ya ufunguzi wa kampeni ikisema kufanya hivyo itaicha uchi ccm zaidi kuliko kukisaidia.

  Hiki ndicho kimetokea zaidi asilimia 87% ya niliongea nao na kunitumia ujumbe wa simu facebook, na wandishi wameonyesha wasiwasi wa umakini wa ccm kuendelea mkuumtumia Mzee mkapa kwani amekibomoa ccm zaidi hasa ukizingatia kejeli na maneno aliyasema kuelekea CDM hayakuwa na tija na si hadhi yake.

  Wengine wamesema mkapa anatakiwa kupumzika kadri anavyojitokeza mbele ya watu anawatia hasira kwani kipindi cha utawala wake ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi za uma , ukiukwaji wa haki za binadamu ulishamiri.

  Ahadi aliyoitoa ya kupeleka matatizo ya ardhi kwa jk alihali anajua wakati wa utawala wake ndiyo kipindi ubinafshaji na uuzaji wa ardhi ulifanyika Arumeru, hii inaonekana ni kejeli na dharau kwa wameru.
  Kuhusu kauli yake ya kutomtambua Vicent Nyerere kama ni mmoja wa wanafamilia wa Nyerere kwa Josephat Nyerere wengine wamesema hawakutegemea mzee kama mkapa anaweza akatoa kauli kama hii haliakijua itawakwaza si Vicent tu bali Familia yote Nyere achilia mbali wananchi wanaoiheshimu familia hii.

  "Ikiwa anambeza dogo kama yule ambaye hamkumkashifu mkapa ni sawa na kuidharahu familia ya Nyerere na wananchi wanaiheshimu sana familia hii , ikiwa hamtambui mbunge wa msoma mjini kuwa ni miongoni mwa familia ya nyerere atamfahamu vipi Sioyi ambaye ni mtoto tu wa Marehemu Sumari".
   
 2. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Labda alichukua za mbayuwayu. Hakuchanganya za kwake
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mzee wangu aliwahi kuniambia "Mkapa is not a politician, he is a strategist". Huyu siasa wanamsingizia tu, sio upande anaouweza vizuri. Hivi tujiulize, kwa miaka saba watu wanataka majibu ya maswali mengi tu, anaendaje kujibu kwenye kampeni wenzake? Watu wanaacha kumzungumzia mgombea, wanamwongelea yeye.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwa mtanzania mzalendo, mwenye akili timamu lazima atakiri kuwa Mkapa kaboronga, amepoteza heshima aliyokuwa nayo kabla. amewakumbusha watu machungu ambayo walikuwa wameyasahau. enzi ya utawala wake huyu mla panya aliiharibu sana nchi yetu.
   
 5. r

  rwazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYU MLAPANYA NI JANGA LA KITAIFA 1. MWIZI 2 MBABAISHAJI 3.ANAJAZBA 4 MLIPIZA KISASI 5 MUUWAJI.
  Hivi mkapa anna mtoto?
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Indeed, he is a natural Born Strategist
  . Mkuu, mzee wako hakukosea kabisa, mpe kudos kwa niaba yangu. Huyu jamaa, alipaswa kupewa jukumu la kupanga mikakati badala ya kuwa frontline. Matokeo yake ndio haya sasa, yeye anajadiliwa kuliko mgombea wao
   
 7. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee mkapa amevuna alichoenda kukipanda arumeru,na bado waTz tunahasira naye.Sasa cjui ni kwa nini ameuwasha tena huu moto ambao ulikuwa umeshaanza kuzimika kwenye hakiri za waTz?.For real ni kwamba mkapa ndo aliye muua JKN ili awafurahishe mabepari.(UK&USA).
   
 8. r

  rwazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakumbuka enzi za mrema ziliwai kukutwa m900 kwenye account yake akasema hajui nani aliziweka.  MKAPA YAANI ULIMUUWA BABAYETU KWELI !!
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha . Naamini hana . Kama yupo ni yule aliyezaliwa na Pesa Mbili Mramba kwa Anna Mkapa ,hivyo kimsingi sii wake.

  Mramba bana noma sana. Alimwachia jamaa demu wake then baadae akapata Uwaziri wa Fedha kama shukrani. He he he
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Huyu Mkapa dawa yake iko jikoni, ana madhambi mengi sana lakini hili la kumuua Mwalimu lazima litamtokea puani labda akimbilie kwao Msumbiji.
   
 11. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  CCM ilikwisha jibomokea tangu zamani, ila tabia za kishabiki bila kureason za wanaojidhania kuwa ni wanamabadiliko, ndiyo zimeanza kukiimarisha upa CCM.
   
 12. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa mkapa aliyaharibu sana maadali ya taifa hili. Alithamini sana mali kuliko utu na uhai wa binadamu. Kwake kundi la wachache kumiliki chakula choote cha jamii pana tena kiharamia ilikuwa ni sawa tu. Aliliharabu na kulishusha hadhi sana jeshi la polisi ref kina Mahita, Chiko na kina Zombwe wote hawa na wengi wa tabia za hawa ni zao la Mkapa hasa kipindi chake cha pili. Ufisadi mkubwa na kushuka maadili kulikopindukia katika jamii kunakoitesa serikali ya Jk, ni matokeo ya msingi Mkapa alioujenga katika awamu yake ya uraisi. Sasa mimi nashindwa kuelewa kama sisiemu imekosa mtu katika watangulizi wake wa kumtuma kwa raia, na badala yake wanamtuma adui yao mkapa aliyewatawala kibabe na kuwanyima watu wa chini haki ya kumiliki rasilimali zao. Ni kweli Mkapa ameiharibia ccm kuliko kuijenga. Lakini tutajuaje? Huenda ni makusudi ya Mungu ya kuusimika mwanzo wa mwisho wa ccm.
  .
   
 13. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ona sasa viwanda na migodi washajimilikisha na hadi sasa watz hatuna ajira katka nchi yenye kila aina ya rasilimali kama madini na mbuga za wanyama na ardhi yenye rutuba,mito na maziwa kemkem!Wananikeraga watu kama hawa!!?,hukumu yao nahisi haina msamaha.
   
Loading...