Kampeni za uraisi 2015 zimeanza rasmi mtandaoni? NEC inalijua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za uraisi 2015 zimeanza rasmi mtandaoni? NEC inalijua hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucas, Mar 15, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nimeikuta leo hii kwenye facebook page inaitwa "Edward Lowasa the NEXT president of United Republic of Tanzania.

  swali najiuliza ni kuwa je hii ni sawa? na je NEC inalijua hili? na inalisemea nini jambo hili?

  Nawasilisha

  Sign UpFacebook helps you connect and share with the people in your life.


  [​IMG]

  [h=4][/h]


  500 like this
  18 talking about this


  [h=4]Likes[/h]  Create a Page


  [h=1]Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania[/h] LikePolitician

  Want to like or comment on this page?
  To interact with Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania you need to sign up for Facebook first.
  Sign UpIt's free and anyone can join. Already a member? Log in.


  Edward Lowasa the NEXT Pr... · Everyone (Top Posts)


  [h=3]Wall[/h]

  Write something...

  • [​IMG][h=6]Lugendo Gingiri
   [/h][h=6]Katika mabadiriko ya elimu jamaa ni shujaa wangu kwangu kura yangu haina shaka jamaa alikimbia mpeni mazuri yake wabongo bana wepesi kusahau fadhira[/h]Like · Comment · 8 hours ago ·
    • [​IMG]Lugendo Gingiri Hesabu miaka ya ukoloni wa waingereza alafu fanya tathimini vitu walivyo kuachia bora hata mjerumani kidogo majengo yanaonekanaabout an hour ago  • [​IMG][h=6]Mpamba Junior
   [/h][h=6]Tatizo lake hafunguki akaeleweka ktk jamii kubwa ni richmond afunguke km hahusiki bila ya hvyo kampeni itakuwa ngumu kwelikweli[/h]Like · Comment · 9 hours ago ·
   • Sam Steve Manchester likes this.

    • [​IMG]Sammy Lee Mpamba@hapo umelonga atuambie amekula na nan!8 hours ago


    • [​IMG]Black Dizzey si atafunguka wakati wa kampeni??7 hours ago  • [​IMG][h=6]Tino Nkya
   [/h][h=6]mimi sitoshangaa hata kidogo kwa mhe. lowassa kuwa rais wa jamhuri kwani doa la ufisadi ni propaganda tu za wanasiasa, wapo wanaosema ooh lowassa akiwa rais mm nitakuwa PM shauri yako ndo kwanza hata ukatibu tarafa hupati acheni kuropoka kufurahisha uma mara ufisadi mara nn cha kushangaza wapo wanaotaja ufisadi ukuwauliza nn maana ya ufisadi hawajui ndo yale ya msafara wa mamba kenge wapo.... unapoamua kusema jambo angalau toa point ya kutufanya kutingishe vichwa but not ufisadi na kama utataja neno ufisad[/h]Like · Comment · 7 hours ago ·
   • Shaban Malekea likes this.

    • [​IMG]Shaban Malekea kweli kabisa3 hours ago  • [​IMG][h=6]Sam Steve Manchester
   [/h][h=6]siasa za nchi yetu kwa sasa sio za ubabaishaji *** AJITOKEZE HADHARANI AJIBU MOJA BAADA YA NYINGINE YA KASFA ALIZOBEBESHWA *** WANANCHI WANAJUA KUCHAMBUA MAKAPE SIKU HIZI[/h]Like · Comment · 8 hours ago ·


  • [​IMG][h=6]Fidelis Rugarabamu
   [/h][h=6]Wajinga ndio waliwao watampa kura,lakin kwa mtu mwelewa hawezi kufanya huo ujinga,hapo ndio udhihilishe uroho wa madaraka wa viongozi wengi wa nchi hii,kashifa zote hizo bado unata uongozi wanini?[/h]Like · Comment · 2 hours ago ·


  • [​IMG][h=6]Shaban Malekea
   [/h][h=6]mti wenye matunda ndo unapigwa mawe kashfa zote mbaya za lowasa raisi anazifahamu ila wenge wanamshtumu lowasa bila kumshtumu kikwete na muda alioka lowasa kuwa waziri mkuu wanaompinga wenyewe wameona maendeleo kiasi gani lowasa kaleta kuliko hata pinda na pia kama atagombania uraisi kura yangu anayo tena kiroho safii mungu ammbariiki raisi. mtarajiwa[/h]Like · Comment · 3 hours ago ·
   • Judith Nduka likes this.


  • [​IMG][h=6]Tausi Omari Bawaziri
   [/h][h=6]wapi sio rais wa nchi hii bora bilali awe rais kuliko huyo lowasa hapati kura ata moja ufisadi umemuaribia jina ata kama nirafiki wa kikwete[/h]Like · Comment · 7 hours ago ·
    • [I][URL="http://www.facebook.com/mwansanga"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/static-ak/rsrc.php/v1/yo/r/UlIqmHJn-SK.gif[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/mwansanga"]Chrispin Mwansanga[/URL] Mwaka 2005 huko visiwani, sheha alidai kuwa maalim Seif sio mkazi wa zanzibar hivyo hana haki ya kupiga kura. Maalim Seif alimwambia sheha namnukuu "Sheha kuna leo na kesho" Sasa Maalim ni makamu wa kwanza wa rais sijui kama yule bwana mpaka leo ni sheha au la?5 hours ago

     [/I]
    • [I][URL="http://www.facebook.com/people/Eliud-Msangi/100003163944116"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/370002_100003163944116_1803005617_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/people/Eliud-Msangi/100003163944116"]Eliud Msangi[/URL] bado ni sheha, kuwa kwake makamu hawezi kumfanya kitu kwa kuwa sio aliyemweka hapo4 hours ago

     [/I]


  • [IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/161773_100002901576881_1476854939_q.jpg[/IMG][h=6]Casto Jonathan
   [/h][h=6]Nchi yetu kwa sasa imehabika kuna siri kali na serikali mengi yamefichika humo .[/h]Like · Comment · 7 hours ago ·
   • [I][/I]
   • [I]Shaban Malekea likes this.
    [/I]


  • [URL="http://www.facebook.com/people/Angela-Kidwanga/100002181944529"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/369882_100002181944529_1760986492_q.jpg[/IMG][/URL][h=6][URL="http://www.facebook.com/people/Angela-Kidwanga/100002181944529"]Angela Kidwanga[/URL]
   [/h][h=6]Nyie wote ni wapumbavu hawez kuwa rais labda kwa wizi watanzania sis co sawa na wa kwao arusha watakao mchagua achen ufala nyiny[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 8 hours ago ·
   [LIST]
   [*][I][/I]
   [*][I][URL="http://www.facebook.com/people/Chissano-Mahimbo/100003123351386"]Chissano Mahimbo[/URL] likes this.
   [/I]
   [/LIST]


  • [I][URL="http://www.facebook.com/gmsofu"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/static-ak/rsrc.php/v1/yo/r/UlIqmHJn-SK.gif[/IMG][/URL][h=6][URL="http://www.facebook.com/gmsofu"]Godfrey Msofu[/URL]
   [/h][h=6]Hakuna ki2 kibaya kama kutojua mambo,nafikiri atakuwa rais coz kundi kubwa la watz wamelala ucngizi mzito sn siamini kwa wale wa2 wenye kumbukumbu wanaweza kusema Lowasa anaweza kuwa rais wa tz 2015.[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 8 hours ago ·


   [/I]  • [I][I][URL="http://www.facebook.com/people/Steve-Ernest/100000839094685"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/274997_100000839094685_1536637_q.jpg[/IMG][/URL][h=6][URL="http://www.facebook.com/people/Steve-Ernest/100000839094685"]Steve Ernest[/URL]
   [/h][h=6]Mchawi mpe mwanao[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 8 hours ago ·


   [/I][/I]  • [I][I][I][URL="http://www.facebook.com/people/Damour-Dmox-Hernandez/100001681124825"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/41527_100001681124825_1804695012_q.jpg[/IMG][/URL][h=6][URL="http://www.facebook.com/people/Damour-Dmox-Hernandez/100001681124825"]Damour D'mox Hernandez[/URL]
   [/h][h=6]Aisee nyie wa2 hamna akili hata kdogo huyu ndo aje aongoze nchi daa...Naapa huyu akiwa raisi mi ntakua prime Minister[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 8 hours ago ·


   [/I][/I][/I]  • [I][I][I][I][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/157781_737838828_939359065_q.jpg[/IMG][h=6]Tengo Kilumanga
   [/h][h=6]Jamani wae wanaompinga wasome katiba. Hakuna mahali anapokatazwa kugombania Uraisi...na kwanini asigombanie uraisi?[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 9 hours ago ·


   [/I][/I][/I][/I]  • [I][I][I][I][I][URL="http://www.facebook.com/people/Deo-Rutta/100002301437057"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273353_100002301437057_1255628054_q.jpg[/IMG][/URL][h=6][URL="http://www.facebook.com/people/Deo-Rutta/100002301437057"]Deo Rutta[/URL]
   [/h][h=6]wat next!![/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 9 hours ago ·


   [/I][/I][/I][/I][/I]  • [I][I][I][I][I][I][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/372000_100001667108737_1604186925_q.jpg[/IMG][h=6]Lugendo Gingiri
   [/h][h=6]Katika mabadiriko ya elimu jamaa ni shujaa wangu kwangu kura yangu haina shaka jamaa alikimbia mpeni mazuri yake wabongo bana wepesi kusahau fadhira[/h][URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Like[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/r.php?fbpage_id=242807839072552&r=111"]Comment[/URL] · 8 hours ago ·


   [/I][/I][/I][/I][/I][/I]

  [I][I][I][I][I][I][URL="http://www.facebook.com/pages/Edward-Lowasa-the-NEXT-President-of-United-Republic-of-Tanzania/242807839072552#"]More Posts[/URL][/I][/I][/I][/I][/I][/I]  [I][I][I][I][I][I] Facebook © 2012 · [URL="http://www.facebook.com/ajax/intl/language_dialog.php?uri=http%3A%2F%2Fwww.facebook.com%2Fpages%2FEdward-Lowasa-the-NEXT-President-of-United-Republic-of-Tanzania%2F242807839072552"]English (US)[/URL][/I][/I][/I][/I][/I][/I]

  [I][I][I][I][I][I][URL="http://www.facebook.com/mobile/?ref=pf"]Mobile[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/find-friends?ref=pf"]Find Friends[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/badges/?ref=pf"]Badges[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/directory/people/"]People[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/directory/pages/"]Pages[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/facebook"]About[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/campaign/landing.php?placement=pflo&campaign_id=402047449186&extra_1=auto"]Advertising[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/pages/create.php?ref_type=sitefooter"]Create a Page[/URL] · [URL="http://developers.facebook.com/?ref=pf"]Developers[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/careers/?ref=pf"]Careers[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/privacy/explanation"]Privacy[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/legal/terms?ref=pf"]Terms[/URL] · [URL="http://www.facebook.com/help/?ref=pf"]Help[/URL][/I][/I][/I][/I][/I][/I]
   
Loading...