Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wale mlioko Arumeru tujulisheni mpaka sasa NASSARI Ameahidi kuwafanyia nini wana Arumeru kwa sababu humu kwa sababu vyombo vingi vya habari TV, REDIO na MAGAZETI vingi vimeripoti nini SIOI...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ni mmoja wa wana ukoo wa Nyerere Burito. Mkapa alipewa heshima hiyo mwanzoni mwa miaka ya 2000, baada ya kifo...
22 Reactions
64 Replies
32K Views
Nifuraha yangu leo Dr H. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule Yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi...
5 Reactions
85 Replies
8K Views
CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arumeru. Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
CCM sijui kama mnazijua hizi mbinu za CHADEMA za kutafuta ushindi kule Arumeru? Mna taarifa kwamba kuna kadi feki zinachapishwa Arusha mjini na Karatu kwa ajili ya kuzipeleka Arumeru. Wasimamizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JUMATATU, 19 MACHI 2012 07:24 NA MWANDISHI WETU, ARUMERU KATIBU MKuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, jana alitikisa Jimbo la Arumeru kutokana na mapokezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Chang'ombe mkoani Dodoma chama cha mapinduzi CCM kimeacha kufanya mikutano hadhara kwa kushindwa kujibu hoja nzito toka CHADEMA.Hali ya kisiasa katika kata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya kuwepo taarifa kuwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, anahaha kutafuta suluhu baina yake na mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere, kwa familia ya Mwalimu Julius Nyerere, Chama cha...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Toka pazia lifunguliwe la kampeni huko Arumeru sijaona ccm wakitumia mbinu yao ya kuwalisha ubwabwa wasikilizaji wa sera. Je ccm imeona ubwabwa kwa wana Arumeru sio kivutio kushawishi wapigiwe kura?
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la. naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu. Je,mejiandikisha kupiga kura? Kadi ya kupigia kura unayo? Ni kadi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mon, Mar 19th, 2012 Mon, March 19th 2012/ Tanzania | Energy and Minerals minister William Ngeleja has said airstrips at mining areas are not meant for stealing minerals, but rather for improving...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na hali ninayoiona hadi sasa kuna suala zima la kuboresha daftari la wapiga kura ambapo kila mtu hasa wa CDM wanalalamika kuhusu daftari la wapiga kura halijaboreshwa.Ni vema CDM...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni kumeanza kuzoeleka kasumba kwa majeshi yetu kuua raia kwa kisingizio cha kujihami, serikali isipolishughulikia tatizo hili kwa haraka na uadirifu ipo siku tutashudia...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mimi bado nakuja kwenye hoja ya matawi nchi nzima , kwanini chama hiki kimeshindwa kufanya hivyo wakati kimeweza kufanya maandamano karibu nchi nzima. au katika maandamano hayo kuna maslahi kiasi...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Ufisadi - tatizo sugu na hatari linalodidimiza maendeleo ya Afrika kumbe linaweza kupunguzwa kwa kutumia njia rahisi tu. Utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia unaonyesha kwamba serikali zenye...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna tabia ya wana jf kwenye jukwaa la siasa mtu katika serikal o upizani akiropoka kitu wanakimbilia kucheki CV yangu na kuanza kumjudge kutoka na CV huo sio ugreat thinker. Tukubaliane kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Source gazeti la magamba Gazeti hilo linadai kuwa Mkapa hausiki na kifo cha mwl na siri ya kifo anaijua yeye na kinachochekesha eti anaomba Vicent aonywe na amwache muuaji apumzike. Mimi...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Nchi hii imebarikiwa sana kwa kila aina ya maliasili, kuanzia misitu, wanyama, madini n.k. Tuongelee madini. Ivi nini kinaendelea kwenye tafiti mbalimbali za madini mfn uranium Namtumbo, Nickel...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
maneno mengi sana yaliyosemwa humu kuhusu kiasi cha pesa amabcho mkurugenzi wa mafunzo Benson kigaila alipewa either na chenge au cheyo imefahamika lrasmi leo, Alipewa kiasi cha shilingi million 3...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Soma kwa makini kisha toa maoni yako. KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alitua Arumeru Mashariki na kuhutubia mkutano uliotikisa eneo la Kwapole – Soko la Ndizi, huku wazazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…