Dr Mwakyembe kuingia kazini leo; kuzungumza na waandishi, nini tutegemee?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Nifuraha yangu leo Dr H. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule Yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi. Jina la Mungu liimidiwe. Pia leo tunategemea Mweshimiwa Mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote. Ninafuraha kubwa mwakiembe afya yake itaimarika sana na kuwa jasiri ya mara ya kwanza. Mungu ibariki Tanzania, viongoz waadilifu na watanzania wote...
 
Who is Mwakiembe?
 
quote_icon.png
By TumainiEl
Pia leo tunategemea Mweshimiwa Mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote
sijakuelewa hapo red
 
nifuraha yangu leo dr h. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi. Jina la mungu liimidiwe. Pia leo tunategemea mweshimiwa mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote. Ninafuraha kubwa mwakiembe afya yake itaimarika sana na kuwa jasiri ya mara ya kwanza. Mungu ibariki tanzania, viongoz waadilifu na watanzania wote...

kwani siku zingine mheshimiwa hakuwa na hekima? Hata hivyo mkuu wewe ndiye msemaji wake au ndiye unayemtayarishia hotuba zake?
 
Msitegemee jipya toka kwa mtu huyo jamani!...Ameshapewa advertize, kiutu-Uzima lazima aelewe kinacho...
 
Mamvi kasema anaumwa nini. Mwakiembe asiposema anaumwa nini atakuwa kwisheni.

Amalizie kusema yuko fit kwa mapambano.
 
Hapana mkuu,watanzania hawajamchoka Mh.Mwakyembe,wanamhitaji sana kwa ajiri ya ukombozi wa nchi hii,waliomchoka ni mafisadi, wala rushwa na wale wote wasiolitakia mema taifa letu,kaa nchi ufikrie kwa kina ili utoe hii kauli yako yenye mafungamano na ufisadi.Kama fisadi alifika na kuitisha vyombo vya habari uwanja wa ndege tena ukumbi wa watu maarufu kwa gharama kubwa iweje leo ushindwe useme mwakyembe hana jipya unataka jipya kutoka kwa mafisadi au.
 
Nifuraha yangu leo Dr H. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule Yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi. Jina la Mungu liimidiwe. Pia leo tunategemea Mweshimiwa Mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote. Ninafuraha kubwa mwakiembe afya yake itaimarika sana na kuwa jasiri ya mara ya kwanza. Mungu ibariki Tanzania, viongoz waadilifu na watanzania wote...

Wateja gani hao atakaoongea nao?
 
Back
Top Bottom