CCM yaihofia CHADEMA uchaguzi mdogo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaihofia CHADEMA uchaguzi mdogo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGOWILE, Mar 19, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Chang'ombe mkoani Dodoma chama cha mapinduzi CCM kimeacha kufanya mikutano hadhara kwa kushindwa kujibu hoja nzito toka CHADEMA.Hali ya kisiasa katika kata hii imekuwa mbaya kwa CCM kutokana na wakazi wa kata hii kuchukizwa na matusi yaliyotolewa na katibu Mwenezi na itikadi wa CCM bwana Nape Nnauye katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho.Watu walitegemea atoe na kujibu hoja.Hata mgombea wa CCM badala ya kueleza atawafanyia nini wanachang'ombe alijikuta akimsifu mke wake mbele ya umati wa watu kinyume na watu walivyotarajia.CHADEMA imepata nguvu kwani CUF imewaunga mkono kwa kutosimamisha mgombea.Kutokana na hali hii CCM imepunguza mikutano ya hadhara na kujikita kwenye mikutano ya ndani na wanachama wake huku kikiwakataza wanachama wake kuhudhuria mikutano ya CHADEMA.
   
 2. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akili za popo hizo, alitumwa na nani kusifia mkewe? nilimuona na ana kilango siku hiyo ama sivyo?
   
 3. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM wataijua kondoo kwa kihaya kwamba ni ......
   
 4. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nape alikuwa anatamba kuwa zito kaogopa aliposikia kwamba yeye ndo anenda kufungua kampeni,saa hz kimya amenywea
   
Loading...