Mlioko arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlioko arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Mar 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wale mlioko Arumeru tujulisheni mpaka sasa NASSARI Ameahidi kuwafanyia nini wana Arumeru kwa sababu humu kwa sababu vyombo vingi vya habari TV, REDIO na MAGAZETI vingi vimeripoti nini SIOI atawafanyia wana Arumeru hku vikiripoti Matusi ya CDMA kwa Serikali na Chama tawala jambo ambalo ndilo linaendelea hata humu JF ambako tulitegemea kupata taarifa za uhakika na sasa mambo ni tofauti kabisa , ni matusi kwa kwenda mbele. Jukwaa halina mvuto tena.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Akili yako ni sawa na punje ya Ulezi
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ok vyombo vya habari vimeripoti sioi
  1.Anataka ubunge ili afarijike kufuautia kifo cha baba yake
  2.Anataka ubunge ili aweze kuitunza familia yake.
  3.Anataka ubunge ili jk atabasam zaidi kwa sababu ndo aliyechagiza yeye achaguliwe na nec
  Nassari anataka achaguliwe kuwa mbunge ili atatue kero za wameru zilizomshinda sumari sr na serikal ya magamba
   
Loading...