Ni swali tu, naomba Sioi na wapambe wake mnijibu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.

Je,mejiandikisha kupiga kura?

Kadi ya kupigia kura unayo?

Ni kadi namba ngapi?

Kama ndio umejiandikishia wapi?

naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura

nawasilisha.
 
atatengenezewa tuu hata kama hana wait and see mkuu unacheza na magamba wewe!
 
walisha ipata hii kuwa ni moja ya silaha za kumuangamiza,kadi ndo inatengenezwa,wape siku mbili tu watakupa jibu, sio leo
 
kama ni mkazi kweli haitataji siku mbili atupatie majibu haraka iwezekanavyo
 
Wana waarumeru kuweni makini, ni vipi tuchague mtu ambaye sikuzote yeye hakujihusisha na mambo ya jamii yetu! ona sasa hata kadi ya kupigia kura hana!
 
Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.

Je,mejiandikisha kupiga kura?

Kadi ya kupigia kura unayo?

Ni kadi namba ngapi?

Kama ndio umejiandikishia wapi?

naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura

nawasilisha.
Nimependa maswali yako, ni ubunifu wa maswali.
 
Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.

Je,mejiandikisha kupiga kura?

Kadi ya kupigia kura unayo?

Ni kadi namba ngapi?

Kama ndio umejiandikishia wapi?

naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura

nawasilisha.
mkuu huku bongo mitandao hailipi kwani hata wachangiaji wengi wa JF hawapo nchini. I,m among of them. ingekuwa US hilo swali lako lingematter. kwa hiyo hayo nenda tu kawaambie wanaArumeru face to face.
 
hatakama wako mbinguni kinacho hitajika ni majibu
 
Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.

Je,mejiandikisha kupiga kura?

Kadi ya kupigia kura unayo?

Ni kadi namba ngapi?

Kama ndio umejiandikishia wapi?

naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura
nawasilisha.
1. NDIYO
2. NDIYO
3. 0897464
4. THIKA KENYA

Je unalo swali jingine?
 
Nathani Sioyi kafosiwa kugombea Ubunge, Hakujiandaa ndio maana katika mikutano anasema anawashukuru wananchi wa mkoa wa Arumeru ilhali jimbo la uchaguzi ni "Arumeru Mashariki"
 
inabidi tumchunge siku ya kupiga kura wakala wetu wa cdm ahakikishe kama atakuwepo kwenye daftari la kudumu
 
Siyoi amefufuka toka kuzimu. Ngoja tuone kama Wameru watachagua mzimu au la!
 
Samahani wakuu....
Hivi sifa ya kuwa mTanzania ni kuwa na kadi ya kura?
Hivi kuwa na kadi ya kura ni moja ya sifa ya kugombea ubunge?

Kama majibu ya maswali haya ni NDIYO basi maswali yako ni valid kabisa, na kama hana kadi basi watakuwa wanafanya makosa makubwa sana ya kubaka demokrasia

Unless otherwise.....................................
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom