kanisa katoliki limekanusha kuwa limemwalika waziri mkuu aliyejiuzulu na mbunge wa monduli, Bwana Lowasa katika harambee ya kuchangia kuundwa kwa dayosisi mpya ya ifakara na kumsimika rasmi...
Zitto aliyasema hayo kipindi akizindua kampeni za mgombea udiwani katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba kwenye viwanja vya Magomeni-Kirumba saa 11:15 jioni ya tarehe 11.03.2012...
Toka mchakato wa kampeni kuanza arumeru mashariki kumetokea na kushambulia. Sana kwa CDM kwanza ilianza
1.Mchakato wa arumeru john mrema katumia mil 16 nakumbuka uzi huu uliletwa na tuntatemeke...
ALHAMISI, 15 MACHI 2012 06:42 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM
​
MVUTANO kati ya Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA) na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, umechukua sura mpya...
Upepo wa kisiasa unaelekea kukiendea kombo chama cha CCM kwani kwa taarifa nilizopata kwa mmoja wa washiriki kwamba mkutano uliofanyika jana kata ya Kikatiti ulikosa watu sana sana wanafunzi wa...
Ni vema wana siasa wakatambua kwamba wananchi wa sasa hawadanganyiki, wanahitaji sera zinazotekelezeka na siyo siasa za majitaka ambavyo baadhi ya vyama vimekuwa vikifanya.
Leo dr SLAA amewasili Arumeru Mashariki Leo na atafanya mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea wa. Chadema,Mkutano utafanyika kijiji cha Nguruma kata ya Nkoaruwa.
Jana jioni wakati vijana wa CCM(Green Guards) wakitoka kwenye kampeni za mgombea wao katika kijiji cha kikatiti waliwavamia wananchi ambao inasemekana ni wanachama wa CDM katika eneo la Kwa Aloisi...
Vicent Nyerere amemlipua Msajili wa Vyama vyaSiasa, John Tendwa, kwa kimzuia kumzungumzia Hayati Mwalimu Nyerere.
Amemshauri kuwa kama anahitji kuwa mmoja wa familia yao, anaruhusiwa kuandika...
Tofauti na ilivyokuwa Igunga chama cha magamba kilikuwa kinabeba watu kutoka eneo moja kwenda lingine kutumia malori ili kuonyesha kuwa kinakubalika kutokana na wingi wa watu Lakini Arumeru wazee...
Habari zenyu jf? Ndani ya bunge letu kwa sasa ni vigumu sana ndani ya vikao kuona wabunge wakisinzia kama enzi zile nadhani ni kutokana na hoja nzito zinazotolewa! Lakini bado wabunge wazembe...
Usiku huu timu ya kampeni ya CCM na ile ya CHADEMA wamejikuta wakipambana kwa dakika kadhaa katika eneo la Meru Garden wilayani Arumeru ambapo ilidaiwa kuwa CCM walikuwa pale kutoa hongo kwa watu...
na nkwazi mhango
Kanada
Wengi Wanaojua madudu ya rais mstaafu Benjamin Mkapa walishangaa mantiki ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpa jukumu la kurejesha jimbo la Arumeru Mashariki baada ya...
Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu aliyebwaga manyanga kutokana na kashfa ya Richmond Edward Lowassa atakwenda Arumeru mashariki kupiga kampeni. Je atakwenda kule kumpigia kampeni mkwewe au chama...
Nimeona binadamu hatukubali ukweli nikitolea mfano wa Arumeu. Miaka yote CCM ilikuwa na mbunge Arumeru. Hakuwatimizia wananchi mahitaji Yao km ardhi nk. Sasa iweje Leo ataweza kuyatatua? Wananchi...
Ndugu zangu wana Arumeru mashariki,jana bila shaka mlisikia hotuba iliyotulia ya Dr wa ukweli na bingwa wa hekima namna alivyo sisitiza juu ya athari za kumchagua kiongozi kwa njia ya...
Kwa mlio na access,
Watch TBC sasa, Waziri wa Sheria na Katiba, Mhe. Selina Kombani yuko live hewani, akiutetea Muswada wa Kuunda Tume ya Kukusanya Maoni ya katiba mpya!.
Ameutetea kwa nguvu...
Najua wengi mtauliza ni uelewa katika jambo gani, mimi nimefanya utafiti, muulize mtu masuala yanayohusiana na maendeleo kwa ujumla mfano kukua kwa uchumi, siasa ,masuala ya katiba, mihimili mikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.