Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania’s appeal to block a case against the construction of a highway across the Serengeti National Park was dismissed on Thursday by the East African Court of Justice. The Appellate Division...
1 Reactions
103 Replies
10K Views
Written by santorini // 18/03/2012 // Habari // 4 Comments Nchi yoyote duniani ikipitisha sheria ya kusema Raisi asishtakiwe ni nchi yenye ubaguzi wa hali ya juu. Hizi ni fikra zangu ,sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ngd zangu hii nchi ni yetu sote!je!? huu ujinga tutaufumbia macho mpaka lini? kwani ccm kwa sasa wameamua kuchezea pesa za wavuja majasho kwa huuujinga kwa sasa wameamua kufungua kesi za kupinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Martin Malera WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya chakula cha hisani kuchangia kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kanisa Katoliki Ifakara. Harambee...
3 Reactions
105 Replies
10K Views
Ninamshauri Bw. Lusinde kwenda shule hata kidogo tuu kwa kuwa hekima ya kawaida Mungu hakumjalia! Siasa siyo kupayuka tuu jambo lolote provided umepewa kipaza sauti, hebu katafute hekima ya...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Nimefanya 'observation'na kugundua kabisa hivi sasa ukikisema vibaya CDM UNAKUMBWA NA UGONJWA WA KUPUNGUKIWA NA UMAARUFU(UKU).Kwa yeyote anayetaka kupata ushahidi,afungue thread yoyote inayohusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ukweli katika falsafa za wanahistoria,mapinduzi hufanywa na makabwela.Tanzania imeshajitokeza hasaaaa kwani daraja hili ndilo ambalo linajitokeza kwa wingi na kuchangia mamilioni kwenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Mtanisamehe kwa kukosa maneno fasaha ya Kiswahili kutuma ujumbe uliobebeka katika kichwa cha habari, Lakini nadhani tafsiri ya kuungaunga ni kwamba CHADEMA sio MALAIKA ila ni afadhali kuliko CCM...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama makini, kikongwe, chenye uzoefu na sera nzuri sana tofauti na chama chochote kile hapa Tz lakin tatizo kubwa la CCM huwa ni viongozi wake, pamoja na CCM kuwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
....Kwa hali navyoiona kwenye kampeni kule Arumeru Mashariki nasikitika kwa CDM kuzindua kampeni zake kistaarabu.Lakini pia nasikitika kwasababu magamba wametumia nafasi hiyo kutukashifu na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mh. Jaji Gabriel Rwakibarila Mruhusu Mh Godbless Lema afanye kazi ya wananchi. LEMA AOMBA KESI ITUPWE Peter Saramba, Arusha MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, jana aliiomba mahakama kutupilia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 14 March 2012 MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, aweza kufukuzwa kwenye nafasi yake wakati wowote, imefahamika. Kufukuzwa kwa Masaburi kwenye nafasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
- Well, sasa nipo bongo so pole pole ninaanza kujionea ukweli mwingi sana amabo umekuwa ukifichwa, moja wapo ni who is Muandishi Kibanda, I mean at onetime through hapa na blogs zingine nilikuwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kila uchaguzi tunaona chadema ikipata support kubwa sana kutoka kwa wananchi ila matokeo huja tofauti na muonekano wa kampeni zake...KUNANI HAPA?:A S 13: MI SIELEWI
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hiki chama ni cha kisiasa, kwanini kila kukiwa na kampeni mnapenda shari. Sote ni watanzania,twajivunia AMANI iliyoasisiwa na TANU/AFRO SHIRAZI,Mtoto CCM akazidi kuendeleza na wananchi kufurahia...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye...
8 Reactions
170 Replies
19K Views
Back
Top Bottom