CCM wameachana na kampeni za kutumia ubwabwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wameachana na kampeni za kutumia ubwabwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIQO, Mar 19, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Toka pazia lifunguliwe la kampeni huko Arumeru sijaona ccm wakitumia mbinu yao ya kuwalisha ubwabwa wasikilizaji wa sera. Je ccm imeona ubwabwa kwa wana Arumeru sio kivutio kushawishi wapigiwe kura?
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Cdm nao naona wameacha kununua pombe za kienyeji
   
Loading...