Utafiti huu wa madini mpaka lini?

2mbaku

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
316
67
Nchi hii imebarikiwa sana kwa kila aina ya maliasili, kuanzia misitu, wanyama, madini n.k. Tuongelee madini. Ivi nini kinaendelea kwenye tafiti mbalimbali za madini mfn uranium Namtumbo, Nickel Bukoba kule nk. Manake kuna tetesi kuwa madini haya yanachimbwa na yanauzwa. Ivi nchi hi imelaaniwa na nani? Viongozi wako wapi? Huu ni utafiti au uchimbaji ushaanza! Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom