Benson Kigaila atuhumiwa kuuza kata bmoja bariadi kwa chama chake cha zamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benson Kigaila atuhumiwa kuuza kata bmoja bariadi kwa chama chake cha zamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Mar 18, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  maneno mengi sana yaliyosemwa humu kuhusu kiasi cha pesa amabcho mkurugenzi wa mafunzo Benson kigaila alipewa either na chenge au cheyo imefahamika lrasmi leo,
  Alipewa kiasi cha shilingi million 3 na si 19 kama ilivyolipotiwa mwanzo,alipewa hizo pesa ili kudhoofisha nguvu ya chadema iliyokuwa inapenyeza kuingia bariadi na probabaly huo ndiyo ungekuwa mwisho wa utawala wa ccm na UDP wilayani bariadi.
  Ikumbukwe kuwa ni Rushwa hiyo ndiyo iliyosababisha chadema wasiwe na mgombea bariad kwenye uchaguzi wa hiyo kata, pia kabla ya kujiunga na chadema kigaila alikuwa mwenyekiti wa vijana wa udp, nimeandika haraka haraka , lakini kumbuka chimbuklo la mgogoro wa bariadi ni Erasto tumbo amabnye na yeye alikuwa udp
  kwa maan nyingine migogoro iliyopo chadema chanzo chake ni mamaluki, sijawahi sikia watu pure chadema kama msigwa na heche wakiwa chanzo cha migogoro chaeme , migogoro mingi chanzo ni wale malaya wa vyama mara cuf, mara nccr mara ccm
  naomba hili lisihusishwe na bavicha maana humu kluna wajinga kila kitiu wao na uchaguzi wa baviocha tu , kuhusisha hili na bavicha ujue wewe ni low minded person
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mbona wapo ma cia wengi tu ndani ya chadema . Paka tufike 2015 tutasikia uchafu mwingi tu wa chadema .
   
 3. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is mkuki kichwani, means ubongo out! Wacha umbea!!!
   
 4. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Tatizo mkuu hao cia hawatoi vielelezo kaamili tujue mbivu na mbichi hivyo uwezo wao ni mdogo au la hakuna ubadhirifu.
   
 5. K

  Kaseko Senior Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  si kweli habari hizo hapa jf naomba moderator uifute thread hiyo. nawasiliana na wadau mbalimbali wa bariadi waliopo kwenye kata hiyo baadaye nitawapa ukweli
   
 6. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa ndugu, wewe bado unawasiliana na watu halafu unasema 'si kweli'!..tuletee majibu ya hayo mawasiliano ndio uwe na authority ya kusema kama si kweli au ni kweli. Ni mtazamo tu.
   
 7. K

  Kaseko Senior Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bado sijampata, kuna mpampanaji yupo huko na niliwasilana naye na alikuwa kwenye kampeni.
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hao wanakusumbua tu hakuna kata iliyouzwa na jana walikuwa kwenye kampeni mgombea wa CDM anaitwa Teddy alihama toka UDP.
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  acha uongo mgombea wa chadema anapingamizi mahakamani alishafukuzwa kwenye chama sasa kigaila alipata wapi mamlaka ya kumrudisha chamani , ameshawekewa pingamizi na alishaondolewa
   
Loading...