Ccm hizi njama za chadema kule arumeru mnazijua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hizi njama za chadema kule arumeru mnazijua?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Mar 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CCM sijui kama mnazijua hizi mbinu za CHADEMA za kutafuta ushindi kule Arumeru?
  Mna taarifa kwamba kuna kadi feki zinachapishwa Arusha mjini na Karatu kwa ajili ya kuzipeleka Arumeru. Wasimamizi wa shughuli hizo wakiwa Wabunge wa majimbo hayo;
  Mna taarifa kuwa kadi za kupigia kura kwa wale wenye mwelekeo wa kuhamia CCM toka CHADEMA zinakusanywa na Chama hicho ili zikahifadhiwe hadi siku ya kupiga kura;
  Mnazo taarifa za kuwepo kwa njama za wanaume kuwalazimisha wenzi wao kupigia CHADEMA kura la sivyo ndoa zivunjike;

  NB. Njama hizo zimekuwa zikitumiwa sana na CHADEMA na mojawapo ya maeneo walijaribu ni kule Tarime aliposhinda Chacha Wangwe baadaye Charles Mwera kabla hajahamia CUF. Aidha maeneo ambayo bado wanawake hawana sauti wamekuwa wakikumbwa na adha hiyo ya kunyimwa haki ya kumchagua kiongozi anayewafaa.

  Chukueni tahadhari.

  Nadhani mlikuwa mnajiuliza kwa nini Vicent Manyerere, Godbless Lema na hyu Jamaa wa Karatu wawe viongozi katika uchaguzi wa Arumeru? na hasa ukizingatia walivyo na upeo mdogo wa uelewa? sasa nadhani mmepata jibu.

   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uwezo wako wa kufikiri ni sawa na punje ya Ulezi.
   
 3. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kalale siasa hujui. Bado unanukamaziwa mdomoni
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  CCM is running away like headless chicken.
  Haya unayoyasema yanaweza kufanywa na CCM pekee, na siku ukiona mpaka kadi feki za kupigia kura zinafanikiwa kutumika na wapinzani basi kaa ukijua CCM ni sawa na mlevi wa gongo aliyeyeyuka maini.
  Umetumia narrow mind juu ya hii spinning uliyojaribu kuiandika ki-layman.
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ungesema haya yanafanywa na CCM ningekuelewa
   
 6. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Huyu atakuwa Lusinde kibajaj...
   
 7. m

  mtayeshelwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 836
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Wewe unanuka kinyesi tena cha kuharisha umesahau kuchamba nenda kachambe ndiyo uje uchambue hoja
   
Loading...