Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Mar 19, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source gazeti la magamba

  Gazeti hilo linadai kuwa Mkapa hausiki na kifo cha mwl na siri ya kifo anaijua yeye na kinachochekesha eti anaomba Vicent aonywe na amwache muuaji apumzike.


  Mimi nashangaa iweje mama Maria aseme Vicent aonywe badala yeye kama mama kumuonya ni imani yangu taarifa inepikwa navyowajua tbc wangemmulika ili wauze sura vzr ila gazeti kwa kuwa hakuna ushahidi wanamwosha damu muuaji
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Source ni Uhuru na Jambo leo.
   
 3. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Uhuru na Habari leo: Habari zake nyingi huwa ni za upotoshaji. Sitaki kuamini kuwa MAMA MARIA NYERERE amehojiwa na magazeti hayo na kutamka maneno yaliyoandikwa ktk gazeti la Uhuru.
   
 4. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kWA HIYO MUUAJI NI BEN MAANA NDO WAMETOFAUTIA NA VICENT? SIJAKUELEWA MKUU.
   
 5. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kwa umri wa huyo mama huwezi kutegemea anything potential she is too old . Nilimuona kwenye star TV jarida maridhawa anasahau vitu vyingi sana.
   
 6. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni magazeti dada na kaka wa magamba
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nilidhani imeandikwa magazetini kumbe ni Uhuru na Jambo leo
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kampeni na siasa za maji taka kweli ni ujinga mtupu...Nyerere alifariki takribani miaka 14 iliyopita hatujawahi kuambiwa nani alimuua lakini ugomvi na mnyukano wa Jimbo moja tu natuhuma za Vicent kuwa si wa familia ya Mwalimu zinasababisha mtu kuambiwa ndiye aliyemuua Mwl.....Aiseeee! kazi kweli kweli.
   
 9. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haya sasa mambo ndo kwaanza yameanza!kazi ipo hapa
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Naimani ccm wanatamani sana wajisafishe kwenye kashfa hii nzito hivyo kama ni kweli (bibi) mama Maria Nyerere kayasema haya ni lazima ccm wangerusha kupitia tv,radio,magazeti,internate,mabango na vipeperushi.
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  yaani hata wafanye nini, VINCENT NYERERE hawezi ongea from nowhere. Kuna kitu. Mkapa kaua hilo halikwepeki
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  yaani hata wafanye nini, VINCENT NYERERE hawezi ongea from nowhere. Kuna kitu. Mkapa kaua hilo halikwepeki. Zingine ni danganya toto
   
 13. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyo mama mwenyewe kama mkapa, inasemekanahapo zamani nae aliwahi fanya jaribio kama la mkapa, likashindwa!

   
 14. S

  STIDE JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Asikudanganye mtu kwamba Mama Maria kazungumzia hilo!! Wanajaribu kujipaka oil chafu ili wasionekane!!
  Nakuhakikishia Angel subiri kitambo kidogo tu utashika mdomo ka mikono yako miwili, utatoa macho usiamini kilichomsibu Mwalimu JKN!!
  Vinginevyo Bibi wa watu ameshinikizwa!!
   
 15. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Jamani hadi haya yote yanatokea eti ksa ubunge tena wa mtu mwingine hv kunanini hapa katika UBUNGE.
   
 16. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  ''Muacheni muuaji apumzike'' Ilo limenitisha!kumbe hakufa natural death aliuwawa
   
 17. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Hoja hii ndiyo itakayowamaliza mwaka 2015. Hakuna mtz atakayewaelewa CCM kuhusu Nyerere.
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa vyovyote vile,mama Maria akiulizwa kuhusu kifo cha mwalimu hawezi sema kuwa aliuwawa.kulingana na source ya thread yako inasema siri ya kifo cha mwalimu anajua mwenyewe ni kweli.
   
 19. B

  Bagumako Yoweli Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli au sio kweli Mkapa atuambie Komba alijuaje, Nyerere atakufa na akatunga nyimbio zqa maombolezo?.
   
 20. o

  omuhimba Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hatuwezi kuwa tunalazimisha hisia,fikra zetu kuwa ndio ukweli!Tusiishi kwa assumptions, we need facts with vivid data to support our argument.
   
Loading...