Husein Bashe anaendesha michezo michafu Arumeru Mashariki

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Hussein bashe mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation anaendesha mchezo mchafu Arumeru Mashariki dhidi ya CDM .Jana wafuasi wa CCM walifunga barabara ya moshi-Arusha eneo la maji ya chai na kulishambulia gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari na wafuasi wa CDM waliokuwa wakipita barabara hiyo.

Cha kushangaza Bashe kuhadi wa mafisadi ametuma pesa kwa waandishi wa habari waliopo Arumeru Mashariki, na kwa viongozi wa UVCCM waliopo Arumeru mashariki wakiongozwa na Beno malisa ili wafanye press conference kukihusisha CDM na vurugu zilizotokea jana.

Katika fungu la fedha zilizotumwa Arumeru Mashariki jeshi la polisi nao wamemegewa fungu lao na Husein Bashe .Jana jioni alisikika akimpigia kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha na kwa kamanda wa Operation Maalum Paul chagonja Akiwashauri wafanye press conference kulaani CDM Kuwa ndio chanzo cha vurugu zinazotokea Arumeru Mashariki na amewahidi Kusimamia coverage kwenye magazeti.

Wana CDM tujihadhari na Hussei Bashe ni mtu hatari ikumbukwe katika uchaguzi wa Igunga Tabora yeye ndie aliasisi wazo la kuwaonga wasimamizi wa vituo ili wamtangaze fisadi mwenzao Dr Kafumu kuwa mshindi ,Ni yeye ndie aliekuwa anaendesha operation chafu ya kunua kadi za wapiga kura wa Igunga .John F Kenedy US president 1961-1963 aliwahi kusema ''Forgive your enemies but never forget their name" Mwisho wa kunukuu ,Bashe uliotufanyia CDM ukishirikiana na Rostam Pamoja na january Tuliwasamehee lakini kamwe hatuwezi kusahau.

Tumesikia anakuja Arumeru na Lowasa tunamuonya kama anataka aendelee kuishi Nchii hii asikanyage Arumeru amuulizie Babu yake wasira what hapen to him!! Lesson tuliomfundisha Fisadi Mkapa sihitaji kuelezea wote ni mashaidi alipib tukampigia
 
Kauli hizi zinachochea vurugu. Siamini kuwa mwandishi wa habari hii ni mzalendo mpenda amani. najua kuwa humu JF wako watu makini laki wapo pia ambao ni wavurugaji kama Agwambo.

Kama umetumwa kupiganisha watu ni afadhali ujiulize kwanza ni tija gani taifa litapata ni sio tu kile utakachopata wewe kama mtu binafsi.

USITUMIKE KUFANYA KAMPENI CHAFU.
 
huyu atakuwa amerith mikoba yote ya RA, lakini dawa yake inachemka jikoni
 
Kauli hizi zinachochea vurugu. Siamini kuwa mwandishi wa habari hii ni mzalendo mpenda amani. najua kuwa humu JF wako watu makini laki wapo pia ambao ni wavurugaji kama Agwambo.
Kama umetumwa kupiganisha watu ni afadhali ujiulize kwanza ni tija gani taifa litapata ni sio tu kile utakachopata wewe
Chadema washambulia waandishi
Wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa Chadema jana walifunga Barabara ya Moshi-Arusha eneo la Maji ya Chai na kulishambulia gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari waliokuwa katika msafara wa CCM uliokuwa ukipita katika barabara hiyo ukitokea Kata ya Leguruki.

Wafuasi hao walilirushia mawe gari hilo na kulipasua kioo cha nyuma na kumjeruhi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mtanzania, Eliya Mbonea.

Muda mfupi baadaye, polisi walifika katika eneo hilo na kuwatawanya wafuasi hao.

Mlezi wa chama hicho mkoani Arusha, Steven Wassira alilaani kitendo hicho akisema hakivumiliki na kuvitaka vyombo vya sheria kuchukua mkondo wake.

Katika hatua nyingine: Gari linalodaiwa kuwa la wafuasi wa Chadema, jana lilivamia mkutano wa CCM katika Kata ya Leguruki na kutimua vumbi uwanjani hapo kwa muda kabla ya kuondoka na kutokomea kusikojulikana.

Imeandikwa na Neville Meena, Mussa Juma na Moses Mashalla.

Source Mwananchi
 
Neville Meena anafanana sana kwa sura na akili kama Dr.Sengondo..................wote hawaaminiki
 
Mbona kwenye habari hii watu hamuombi ushahidi? Na Mods hapa katajwa Bashe na kuhusishwa na skandali hii jee ni haki kama mtoa mada hajatutajia hata majina na mahali zilipotolewa hizo fedha?
 
inakuaje foreigner aje atufanye mabwege ndani ya ardhi yetu?jee sisi somalia twaweza fanya hivyo?
 
Hivi habari zinazohusu issue za CCM huwa hazihitaji ushahidi?
 
Jamani wana cdm wote msiwe na shaka kwani hawa mafisadi wamezoea siasa chafu kama pale igunga but ukweli tutauonesha tarh 1 aprl,TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU"
 
Meena hayuko hivyo, itakuwa kapewa habari fulani tuu lakini namtetea kwakuwa mara nyingi yeye hayoko biased yuko balanced, ila inawezekana kama alivyotahadhalisha mwana jamvi mmoja jana kuwa CCM wanayo magwanda na wana mpango mbaya kujifanya wao ni CHADEMA na kuanzisha vurugu wakisingizia kuwa ni CHADEMA kuweni macho na hilo inawezekana thats what happened
 
Kweli watu wana roho ngumu! Huyu Bashe si ndo aliambiwa yeye siyo raia na akaenguliwa kugombea ubunge! leo hii bado anawatumikia waliomdhalilisha! siasa bana!
 
Yaani Bashe anawaacha wafanyakzi wa New Habari bila mishahara miezi 3 halafu anafanya madidu hayo?
 
Back
Top Bottom