Ungependa yupi awe mgombea wako katika kinyanganyiro cha mwaka 2015?

FMuhomi

Member
Oct 16, 2011
61
24
From CDM: Dr.Slaa, Mbowe, Lissu, Zitto, Mnyika

From CCEM: Magufuli, Lowassa,Pinda,Sitta, Membe

:juggle:
 
Kwani Tanzania kuna vyama viwili tu? Mimi nampendekeza Globu kutoka sayari ya Mars.
 
Aliekuambia lowasa kiboko hajakudanya tena msema kweli huyu bwana kiboko kweli tena kwa staili waliomsingizia fisadi.kazi wanayo.zitto anaweza kuonekana lakn kazi anayo.
 
Mimi nashauli angeweka na nafasi ya mgombea binafsi kisha Deus Kibamba mwenyekiti wa jukwaa la katiba agombee
 
2015? Mbona mbali ivo wakati uchaguzi keshokutwa tu.. Watu zigo lishawalemea.. Kama hata 2013 wataifika Basi watakua hoi bin Maut.. Kuongoza Dola wafikiria mchezo.. Chezea TZ...
 
Back
Top Bottom