Propaganda za CCM Arusha: Lema haeleweki mwaka 2005 tulimhonga hakwenda mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Propaganda za CCM Arusha: Lema haeleweki mwaka 2005 tulimhonga hakwenda mahakamani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 7, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  CCM sasa wamebuni mbinu mpya ya kudai kuwa mwaka 2005 kweli Lema alishinda lakini wao walipoona atawabwaga mahakamani walimkatia ganja na akapokea na hivyo kutokwenda mahakamani na hivyo wadai haeleweki kwani akipewa ugali atawasaliti wana-Arusha.

  Huko nyuma Lema alidai hakuwa na fedha za kumlipa mwanasheria aliyedai alipwe shilingi milioni kumi na saba kabla ya kuchukua kesi.

  Sijui yupi anasema ukweli lakini nijuacho CCM hapa Arusha wamechokwa ile mbaya na hata hizi jitihada ni za mfa maji ambaye hata akishika jani anaona ni nafuu kwake.

  Kukiri kwa CCM kwamba wao huwa wanatoa rushwa hilo linatosha kuwaweka kando maana wapigakura safari hii hawataki kuhongwa au anayehonga............................
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa si wakae tu wasubiri kumwonga? ya nini kelele
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Rutashubanyuma.

  Mkuu Ruta huitaji kuambiwa na CCM kwamba walimuhonga Lema hii maneno inajulika siku nyingi labda kama wewe nimgeni Arushas tafuta kuna threat nilishazungumzia kwa mapana na marefu ndiyo maana mimi simkubali Lema hata jua likisimama kwa dakika kadhaa najua yuko kibiashara zaidi.

  Mkuu hakuishia kuongwa tu bali alishiriki kudalalia udiwani wa Mawazo diwani wa Sombetini ambaye siku za karibuni wamekuwa wakirushiana maneno ya kashfa.Dhambi za Lema zinawafanya wapinzani waonekane wasanii,bado watu wanawasiwasi na dhamira ya upinzani.

  Mkuu kampeni zilipozinduliwa Mama Batilda alikuwa juu sana laiti uchaguzi ungefanyika kati ya siku tatu mpaka saba Batilda angeshinda ubunge siri zake zilipotinga kwa wapiga kura akafifia kwa kiwango cha kutisha.Lema akaanza kupanda cha kwa kasi ya kutisha lakini naye ameshaanza kuchoka kila kukicha kashfa zake zina ibuka kama uyoga.Tayari nusu ya wapiga kura wameshajua Lema ni kilaza wa kutupwa.Napenda kukuhakikishia hizi si propaganda za CCM bali ni makosa aliyofanya Lema kwa kufikiri watu wanakumbukumbu ndogo.Mtu anayemmaliza ni rafiki yake wa siku nyingi Mawazo Alphonce.
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haya maneno yametamkwa kwenye rally? Kama ndivyo hawa hawawezi kushitakiwa kwa kutoa rushwa???
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Ntemi Kazwile,

  Mkuu unapaswa kujua kitu kimoja muhimu sana.CCM wilaya ya Arusha imegawanyika mara mbili,kuna kundi la mwenyekiti wa CCM wilaya Mzee Jubilate kileo mpiga debe wa Felex Mrema na kundi lake kubwa halafu ipo CCM Lowasa iliyomwingiza Batilda kwa nguvu za ajabu.

  CCM Lowasa wajua F Mrema alimnunua Lema athari zozote zitakazojitokeza hazitamuathiri Batilda bali Mzee kileo ambaye pia ni mjomba wake Lema.
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  vita ya beberu na kuku
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  angalia upande wa pili mtu huyu alihongwa akakubali akifika bungen atasaidiaje wananchi pasipokuhongwa..tuangalie pande zote mbili ...tuwe makini siku ya tar 31 oct 2010 kamma mwananchi na si wazo la jeshi la tanzania
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  Kukiri kwa CCM kwamba wao huwa wanatoa rushwa hilo linatosha kuwaweka kando maana wapigakura safari hii hawataki kuhongwa au anayehonga

  BALI MUHONGWAJI!!!I LIKE SIASA UNAJUA TATIZO MOJA LA UPINZANI NI WACHACHE NDIO WANAOKULA NA KUTAKA KUSHAWISHI WENGI WAWAFWATE WAKATI WANAPULIZIWA KIYOYOZI ..MI NASEMA HIVI SI MWANA CCM NASEMA BORA CCM INAYOKULA NA WENGI ..AKIKA KWA STYLE HII SIJUI KAMA WAATARUDI TENA HUKU MJENHONI(JF)KUONGELEA UPINZANI..WAKIMALIZA MLO WAO BASIIIIIIIII
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kumbe kweli CCM ni wazee wa Ruswa, mpaka wanasema hadharani, TAKUKURU MPO WAPI?
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  BiG G

  Vipi una scandal nyingine??
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nashukuru sana Mkuu kwa taarifa.

  Vita ya panzi, nafuu ya kunguru. Najua wanazidi kumpandisha chati Lema bila wao kujua. Lowasa, Rostam, Makamba, Kinana, Kikwete, na wengine wengi watajificha siku ile ambapo Tanzania itakombolewa tena!
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima Kapotolo.

  Mkuu wangu marehemu Bibi yangu aliwahi kunihadithia wakati wa uhai wake kwamba mchawi aliyeshiriki kuuwa watu wengi siku ya kufa kwake moto unamwakia mwili mzima atalazimika kutaja watu wote alioshiriki kuwauwa kabla ya kukata roho.CCM ni kama mchawi nakwambia kabla hakijaenda kuzima kitasema mambo yote mabaya waliwahi kufanya siku za nyuma watanzania tutabaki midomo wazi.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wewe darasa la ngapi?
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wewe ni sawa na REDET umewapata je nusu ya wapinga kura na kama ni hivyo unaimanisha Lema 50%, Batilda 30%, Lyimo 15%
   
 15. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,450
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Wanamiliki TAKARU
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kama Lema hafai nani anafaa kwa Arusha? Ninavyoona Baltilda hafai zaidi kwani ni mnafiki sana , mwenye jazba. Hii kuwa tu CCM ni ishara kuwa hafai. Kwanini atetewe na Lowasa?
   
 17. S

  Subira Senior Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  naomba wakuu hiyo thread iliyotolewa na mh.ruta kuhusu hizo kashfa za mbunge wetu makini lema
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Ninavyofahamu karibu kila Mbunge wa chadema ni brand, vyovyote umuanavyo Lema na ufikrivyo kuhusu yeye.Naomba upate bahati ya kumwona jukwaani ktk majimbo Mengi Tanzania na huu ndio ukweli unaowapa taabu wasio chadema.Hawa jamaa wana sijui kitu gani.Im sure msiba wa Sumari, Lema angeamua kuwafunika viongozi wote pale angefanya.Na ndio maana hata wapinzani wao CCM wameanza propaganda kuwa Lema hatakiwi Meru.

  Kwa jinsi chadema wapo flexible ktk kuongea na kujenga hoja bila hofu ya kumuudhi sijui kada CCM wanaingia ktk kila kitu wakiwa underdogs mbele ya CDM. Kauli km Mbunge mmoja 1 wa CDM ni km Magamba 30, wana meru wakiingiza Mbunge 1 wanatoa magamba 30. Gharama za uchaguzi na mahala CDM walipomchagulia Mwakilishi wao ni Tofauti na Mamillion mamia ya CCM kumpata Kijana wao, yanafanya CCM ionekane kituko mbele ya Chadema.Mwandishi wa hoja hii hajui asemalo.jaribu hudhuria mikutano hata km si mwanachama upate facts.
  Mikutano ya CDM watu wapo at easy sana.Wanachat, wanacheka, wanashangilia, wanapata ile ATHEM ya kupandisha stim ya PEOPLES POWER....X,wanacheza na pikipiki, kitu ambacho sikioni CCM kwa kiwango cha kufurahisha.Km kuna watu wa wanakwazika ni wazee wanaopewa hofu wenda ktk mikutano ya CDM ila wanaangalia TV halafu wanaona shamrashamra zinazokuwepo.
  Jaribu kwenda km mikutano ya kisiasa ukaone mwenyewe,km unaona taabu jaribu kaa hata ktk baa ,duka la karibu ukipata moja ,mbili angalau usipate vikwazo kama iliyowakuta mafarisayo kipindi cha mikutano ya Yesu.walifurahia mafundisho ila wakahofu kuitwa wanafunzi wake kwa kuwa karibu yake.
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siyo kweli kuwa Lema alihongwa bali alishindwa kihalali na ndiyo maana hata kampeni zake zilikuwa za kusuasua maana hakuwa na chochote.
   
 20. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  vipi safari dau lilikuwa dogo nini
   
Loading...