Kwa nini CCM inatetemeka mbele ya Chadema? Soma hapa kupata ushahidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini CCM inatetemeka mbele ya Chadema? Soma hapa kupata ushahidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 19, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mwenyekiti wa NEC ambaye ni mteule wa bosi wa CCM, anajua fika kwamba ni ukiukwaji wa sheria na kanuni kutorekebisha daftari la wapiga kura la Arumeru Mashariki (kama ilivyokuwa Igunga), lakini bado hafanyi chochote, huku akijuwa wazi kwamba kuna maelfu ya vijana waliofikisha miaka 18 tangu marekebisho ya mwisho katika daftari hilo ya mwaka 2010 wamenyimwa fursa ya kupiga kura katika uchaguzi huu.

  mweyekiti huyo wa NEC anatambua fika kwamba wengi wa vijana hao ni Chadema, kwa hiyo ili kuiokoa CCM, basi anaona bora wasiandikishwe.

  Huyu Mwenyekiti wa NEC wa sasa nilidhani atakuwa tofauti na yule wa zamani ukikumbuka alivyosema katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kuapishwa. Hakika kaambiwa na CCM "usithubutu kuandikisha vijana, hawa vijana wataiangusha CCM."
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbuka aliyemteua ni mwenyekiti wa chama na hivyo lazima ampatie adidu za rejea katika utendaji wake wa kazi! kwa maana hiyo hatutarajii mapya wala utofauti wowote na aliyepita.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kifo kikishafika kimefika tu. Hata wahangaike vipi kifo chao kipo palepale tu. NEC ni sawa na c.o.n.d.o.m ya magamba.
   
 4. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndio maana tunaposema mabadiliko ya katiba tuna sababu kubwa ya kumwondolea rais mamlaka ya kutengeza tume ya uchaguzi lakini pia tunataka mamlaka wapewe wananchi wenyewe.
  Huu ni uonevu kwa wapiga kura.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wahakikishe wanafanya mizengwe kuwazuia vijana wasijiandikishe kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 pia, vinginevyo vikongwe wao wote ambao kwa sasa ndiyo wamebaki wanachama wao watakuwa wamekufa, itakula kwa ccm tu.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na hata CDM wakienda mahakamani kuzuia uchaguzi huu wa Arumeru kutokana na mapungufu makubwa hayo katika daftari, shauri litatupiliwa mbali na mahakama hizi za madhalimu.

  Miaka kadha iliyopita Mtikila alienda mahakamani kuzuia uchaguzi mdogo wa Tunduru kutokana na suala hilo hilo la daftari.

  Mnakumuka yaliyotokea? Mahakama Kuu ilifanya makusudi mazima kuchelewesha kesi hadi Ijumaa saa 10 ndiyo wakatoa ruling ya kutupilia mbali zuio la Mtikila eti kwa sababu ingekuwa gharama kubwa!
   
 7. c

  chingunduli JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo tuwaache wafanye madudu kwa sababu watachelewesha matokeo ya kesi au rufaa, hivi huu mtindo wa kumbeleza haki zetu utaisha lini?
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wale wote wanaosema iko siku yote haya yataisha na Watz watakuwa huru -- huru kwa mara ya pili.
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mobutu alikuwa na pesa nyingi na silaha za kuweza kupigana miaka 25 lakini alikimbia kwa miguuu kupitia africa ya kati akaenda fia west africa...
  Gadafi alikuwa na pesa na kulindwa na mademu bikra NA MAPESA KIBAO KILA MAHALI DUNIANI MPAKA HUKU KWETU lakini kila mtu aliona mwisho wake ndani ya mfereji wa maji machafu day will come
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inatetemeka kwa sababu Dr Slaa ndiye atayewang'oa. Na waking'oka hawarudi ng'o itakuwa kama vile UNIP ya Kaunda na KANU ya Moi. Kwishney. Wako tayari kutumia madhambi yote ili wabakie. Hata kuuwa.
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mlokole ndan ya daladala: nyimbo gan hzo mnaweka hebu 2wekeen nyimbo za yesu, konda: Vp ww! Yesu bado hajatoa albam.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hii dhana potofu kwamba vijana wengi ni CHADEMA ya kupuuzwa na viajana kwa sababu Chadema wameibadilisha kuwa kama sera ya Chama. Ubadilifu mkubwa unaofanywa na Chadema hivi sasa unafanywa kwa makusudi kabisa tena kwa kiburi kwa vile wanajua kuwa kauli mbiyu yao ya NGUVU ya UMMA inawalenga moja kwa moja vijana ambao ndiyo wenye Nguvu. Ni lazima vijana sasa tushtukie hila hizi za Chadema. Hivi kweli ni mwaka jana tu Daftari la kudumu la wapiga kura limefanyiwa marekebisho, leo tena lifanyiwe marekebisho inaingia akilini kweli. Kama hoja ni Wazee ni wa CCM na Vijana ni wa CHADEMA basi ngoms ni draw kwa vile wapo wazee waliofariki na wengine hawana nguvu tena za kwenda vituoni kupiga kura. CHADEMA acheni kulalama.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Nakubaliana na wewe -- wao walianza lakini.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kweli bwana tumechoka na nyimbo hizi za Chadema. Tunaomba tupate nyimbo za vyama vingine, hawa hawana jipya.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe bado unampigia SLAA mahesabu wakati na yeye Chama kinamuona kama mzigo hivi sasa. MSHUMBUZI LAZIMA akimalize hiki chama kama hawatachukua maamuzi mazito ya kuachana na SLAA. Subiri uone mwaka 2015 uone kama hatarudi karatu kuomba fadhila za kustaafia.
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Usifananishe viongozi hao na viongozi wetu wanaotuachia historia za kuigwa wewe mwendawazimu kweli. JK anatuacha na historia uandikwaji wa Katiba mpya unamfananisha na Mobutu? au kwa CDM wanawahadaa wananchi kuwa wao ndiyo waanzilishi wa mchakato wa katiba mpya? CDM kwanza limeanza lini na unajua vugu vugu la Katiba mpya lilianza lini? si afadhali wangeongea CUF kidogo ningewaona wa maana. CDMA wadandiaji wa sera wa vyama vingine. CDM tuwaachie ukabila, udini na udikteta.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ndiyo kusema ile janja ya kugoma kusaini kushindwa hailipi na sasa dili ni kwenda mahakamani siyo? Tatizo SLAA na MBOWE , wanakurupuka bila hata ya kutafakari. Wameshaangalia na kuona hawana chao Arumeru wameanza kulalama, Kwani hawana mbinu zingine? na kwa nini walalamike wao? kwani mfumo hauwaathiri vyama vingine.
   
 18. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kipindi cha Nuhu walikuwa hawasikii hivi hivi, yakawapata. Hata hawa yatawapata tu
   
 19. z

  zamlock JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yani wewe roho inakuuma sana chadema kushamili arumeru unalo baba au mama
   
 20. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ccm imeshakufa bado tu kuzikwa.
   
Loading...