Mbunge wa Chadema yuko India kwa matibabu

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga (Chadema) yuko nje ya nchi kwa matibabu ya moyo hali ambayo imesababisha kesi inayomkabili pamoja na washitakiwa wengine kuahirishwa hadi mwezi ujao. Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mahakamani ambapo Kiwanga pamoja na wanachama wengine watatu wa Chadema wanakabiliwa na mashitaka matatu ya jinai dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kwa mujibu wa hakimu, amepokea taarifa ya maandishi kutoka kwa daktari inayoeleza kuwa Kiwango yuko India kwa matibabu ya moyo. Mashitaka yanayowakabili ni matumizi ya lugha ya matusi, shambulio la madhara mwilini na kumweka chini ya ulinzi isivyo halali, tukio lililotokea Septemba mwaka jana wilayani Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga.
 
Tunamuombea apone arudi akabiliane na kesi yake.
 
apate afye njema. ila suala la viti maalum ni mzigo kwa taifa hili. full stop
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga (Chadema) yuko nje ya nchi kwa matibabu ya moyo hali ambayo imesababisha kesi inayomkabili pamoja na washitakiwa wengine kuahirishwa hadi mwezi ujao. Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mahakamani ambapo Kiwanga pamoja na wanachama wengine watatu wa Chadema wanakabiliwa na mashitaka matatu ya jinai dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kwa mujibu wa hakimu, amepokea taarifa ya maandishi kutoka kwa daktari inayoeleza kuwa Kiwango yuko India kwa matibabu ya moyo. Mashitaka yanayowakabili ni matumizi ya lugha ya matusi, shambulio la madhara mwilini na kumweka chini ya ulinzi isivyo halali, tukio lililotokea Septemba mwaka jana wilayani Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga.

Kama wametenda makosa yote hayo, wafungwe tu, hakuna msalie.
 
ugua pole kamanda, ila mbona kila siku morogoro jamani...........
 
Naona India tangia mwakiembe inakuja kwa kasi kweli kiongozi yeyote hata akipiga chafya tu amaandaa safari ya India kwa matibabu cjui wahindi nao watakuja kwetu kufuata kitu gani
 
Anatibiwa kwa hela za Chama, serikali au za kwake mwenyewe? Pole mpambanaji!
Za bunge kama ilivyo kwa Mwakyembe, Mwandosya, Chami na wengineo. Ila ukiniuliza bunge linatoa wapi hela, siwezi kukujibu, kwani ni juzi tu ndipo nilipojua kumbe bunge linaweza kupitisha na kutekeleza mishahara na malipo ya posho mpya bila rais kujua.
 
mungu amuongoze apone mapema. Inamaana hospitali za nyumbani zilishindwa kutatua tatizo la suzan?
 
Back
Top Bottom