serikali haijielewi

ramashema

New Member
Oct 10, 2011
3
0
Jamani hii serikali inaelekea wapi..!? Coz inaonekana wazinitafika mahari itashindwa hata kuwakipa mishahata wafanya kazi wake.!
 
Ishindwe mara ngapi? Watu wamehitimu ualimu, nafasi ziko wazi nyingi sana lakini hela ya kuwaajiri haipo. Takwimu za TRA ni kwamba kodi inakusanywa nyingi - inaenda wapi! Mwezi huu wafanyakazi wa serikali wanakula xmass bila mshahara; sitashangaa hata mwaka mpya ikawa bado. Serikali imekopa nssf karibu inaifilisi, ikahamia kwenye benki za biashara ambako riba ni ya kufa mtu, kisa hawawezi kuuza treasury bills; hakuna wa kuzinunua!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom