Kuna Jitihada za Dhati Kuhakikisha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Jitihada za Dhati Kuhakikisha...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Mar 14, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala miguu (lakini provocative) ili watu walazimike kuchangia. The final result ni kuwa watu tunaacha kufikiria na kuyashughulikia mambo ya maana na kukaa kuchangia threads utumbo ambazo haziwezi kuchangia katika kuleta mabadiliko tunayoyahitaji nchini mwetu. Naomba tuanze kuzipotezea threads zinazoonekana wazi kuwa za kipuuzi kwa kutozichangia.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kama hii ya kwako!
   
 3. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah Loh JF kwa vimbwenga nimecheka sana na folen hii ya tegeta loh.
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mfano hai wa hao niliowakusudia kwenye bandiko langu. Shame on you and your likes boot-lickers, people who are ready to sell your own souls! Una nini la kujivunia wewe, kutupiwa makombo? Acha kutumiwa b.w.e.g.e wee!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unywaji wa gongo zilizochanganyikana na kinyesi ni mbaya sana. Ona sasa ulivyojivua nguo na kubaki uchi!
   
 6. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tofauti yako na hao unaowasema ni ipi mbona siioni!!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Watu wamekushambulia sana, unajua kwa nini? Kwa sababu hujatoa hata mfano mmoja wa THREAD UTUMBO. Inawezekana kabisa hujiamini na ulichokiandika na yawezekana ukawa mtoa utumbo namba moja.
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Busara ya kawaida tu (and one needs not be educated or a genius to know this) itamfahamisha mtu muelewa na ambae si wa aina hiyo ninayoielezea kwenye thread yangu. Sihitaji kutoa mfano pia, alienishambulia kama ulivyoita ana sababu zake kama ulivyo na sababu zako za kudhani mimi ni "mtoa utumbo" namba moja (whatever that means!). All in all, naamini ujumbe umewafikia walengwa na alieguswa utakuwa unamhusu na wenye akili zao wameelewa nilichokisema. Kama hujaelewa then it is your loss not mine!
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mtu huwayawaza yaujazayo moyo wake! Aisifuye mvua imemnyea. Mwenye akili ataelewa! Usipoupata ujumbe huu ji-judge mwenyewe!
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono mkuu.
  Naona kuna threads zinachangiwa mno siku hizi... ukiangalia sana utaona wanajadiliana tofauti ya software na database.
  Halafu kejeli na matusi kibao!! yaani hamna cha maana kabisa wanachoongelea.
   
Loading...