Wameru: Jina Sioi lina uhusiano wowote na hereni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wameru: Jina Sioi lina uhusiano wowote na hereni??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MAGEUZI KWELI, Mar 19, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Jamani si kama ninachokoza...ninataka kujua tuu hili jina Sioi..hicho ni kiswahili kamili chenye nia hasi. Sasa ndiyo najaribu kuhusisha na uwepo wa hereni kwenye sikio kama vina uhusiano au la..

  Nifungueni akili
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Jamaa anaitwa Siyoi na si Sioi...
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hakuna uhusiano. Hivi kweli wewe una macho? Mbona Mbunge mtarajiwa wetu hana hereni? au umekosa cha kuchangia.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kweli umechoka. hilo lina uhusiano gani na hii Thread?
   
 5. FREDRICK KIMARO

  FREDRICK KIMARO Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo aende kwa camerron ampe umbunge
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nenda kapenge makamasi
   
 7. N

  Nakwetu Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona CHADEMA walikuwa na Diwani rasta na tunajua hao ndio wavuta Bangi na mengineyo? Pia CCM wana mbunge sangoma sijui kama alnaloga au anaagua? Jipya kwa Siyoi ni lipi hata kama kweli ana hereni?
  Uamuzi wa mwisho ni wananchi wa Meru bila kujali mambo kama hayo.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi mvuta bagi utamlinganisha na shoga.....Na kwa taarifa yako tu kuna makabila hapa tanzania bangi wana tumia kama boga........niambie ushoga hapa tanzania wapi una kubalika kama siyo UK anakotoka SIYOI...
   
 9. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha tuhalalishe bangi coz ni mboga to some tribes? That means we'll even authorise prostitution as it's a business to others. Form five selection itoke haraka hawa wanafunzi wanasumbua sana jamani.
   
Loading...