CCM ilishinda Arumeru siku ya ufunguzi wa kampeni za chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ilishinda Arumeru siku ya ufunguzi wa kampeni za chadema

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by jingalao, Mar 16, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  makada wa ccm wanaeleza mbinu makini waliyotumia kuishinda chadema kabla ya uchaguzi wa arumeru mashariki.
  Ile siku ya jumamosi ambapo chadema walizindua kampeni zao pale leganga kulikuwa na kundi kubwa la makada wa ccm walioenda kupiga kampeni ya nyumba kwa nyumba huko vijijini.ccm walihakikisha wazee na kina mama waliobaki majumbani wanashawishiwa kwa mbinu zozote zile kuichagua ccm.hii ilikuwa ni fursa muhimu kwa ccm kuchukua ushindi kwani uwepo wa vijana majumbani ungesababisha resistance kubwa.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 2. FREDRICK KIMARO

  FREDRICK KIMARO Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unafikiria kwa kutumia masaburi
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe ni Jingalao.
  Aliyekuambia wana Arumeru wanasubiri kuambiwa nani wa kumchagua ni nani.

  Kinachofanyika sasa Arumeru ni kuwatangazia watu kwamba kuna Fursa nyingine imejitokeza Mapema ya kufanya maamuzi kwa ajili ya mustakabali wa maisha yao. Wanajua Fika wanachokitaka, cha zaidi
  wanatajiwa Majina tu.

  Wana Arumeru wanajua kwamba sio Joshua wala Sioi mwenye uwezo Binafsi wa kutatua Matatizo,Lakini wanatambua kwamba kama Jamii wanalazimika kuwa na kiongozi, na wanajua sifa za kiongozi wanayemtaka.

  Kwa kifupi, Mwanaadamu yeyete yule, Hata Akija Obama hapa akagombea Udiwani kwa ticketi ya CCM popote pale katika ardhi ya nchi hii, tofauti pekee itakayokuwapo ni kwamba wakati wa kampeni watu watapewa rushwa in Dollas lakini imani kwa wananchi juu yake itakuwa ni single digit percent.

  Watanzania hatuwezi kukaa kila siku tunachambua sifa za watu, tumeishafanya uamuzi mmoja tu, this time around tuchagua viongozi wetu kutoka CHADEMA Period. CHADEMA is our political BRAND
   
 5. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Nadhani kunahaja ya kutafuta jina zuri kwa watu wenye kuleta thread kama hii maana huyu kumwambia anafikiria kwa kutumia masaburi tutakuwa tumempa hadhi ya juu sana kifikra maana inabidi tuangalie ufahamu, mitizamo, uelewa, ushawishi na fikra za waliowahi kuambiwa wanafikiri kwa kutumia makalio then tufananishe na sifa za mleta uzi je wako kwenye level moja? Kwangu mimi hapana! Sasa huyu atakuwa anafikiri kwa kutumia nini?
   
 6. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  atakuwa anafikiri kwa kutumiaaaaa! Aaaah! Nmekumbuka ngoja nkamulize mwanaasha huwa anafikiri kwa ku2mia nn then ntawaletea jibu faster!
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kiukweli nassari ameshindwa kuwaambia wana Arumeru atawafanyia nini akichaguliwa kuwa mbunge. Amebakia kuongelea ufisadi badala ya kuongea namna ya kutatua matatizo ya wanaarumeru. Hii itamletea shida.
   
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  wewe endelea kuzunguka mbuyu tu badala ya kuongelea kinachotokea arumeru vijijini.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 9. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Wana-Arumeru kama Watanzania wengine wote ufisadi pia ni tatizo lao. Hii dhana yako ya mgombea kuwaambia watu atakachowafanyia ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Hivi kweli mpaka leo hii wewe unaamini kabisa kwamba mbunge atawafanyia wananchi kitu fulani? Maswala ya maendeleo ni jukumu na mchango wa kila mwananchi mwenye nguvu, akili timamu na afya njema, si jukumu la mtu mmoja aitwaye mbunge.
  Watanzania tunatakiwa kuelewa dhana ya kuwajibika kwa pamoja kuleta mabadiliko na hatimaye maendeleo.
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Aya mawazo ya kimbwaku mbwaku
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  unadhani wana arumeru hawajawahi kusikia issue za ufisadi?mbona walimchagua sumari pamoja na ugonjwa aliokuwa nao?sera ya ufisadi haileti ushindi bali ushindi unahitahi mikakati na hapo ndipo ccm inaposhindia.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 12. m

  maramojatu Senior Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  It is not true bucho and others who think like you. Just anyone at arumeru east. He/she will tell you that is not expecting any contestant to transfer money to his/her account, or give that and that. what they are voting for is the messenger who they can easily give their complaints to the necessary authorities. basi!
  This does not, by any means, discourage and your party from continuing distributing money and kangas to voter as they already know who they want to elect as their messenger.
  Nawasilisha
   
 13. m

  maramojatu Senior Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  It is not true bucho and others who think like you. Just tell anyone at arumeru east. He/she will tell you that is not expecting any contestant to transfer money to his/her account, or give that and that. what they are voting for is the messenger who they can easily give their complaints to the necessary authorities. basi!
  This does not, by any means, discourage and your party from continuing distributing money and kangas to voter as they already know who they want to elect as their messenger.
  Nawasilisha
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kweli wewe jinga sana,unabadilisha gari kuwa meli,ccm wamepotea arumeru
   
 15. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  kampeni za ccm sio majukwaani,ccm wanajua nguvu yao ilipo na wanaitumi vilivyo.wameru ni watu wa kujishughulisha sana kwa hiyo kwenda kwenye kampeni hawana muda.ccm inajua kutafuta kura,inaenda majumbani kunyenyekea nyie mnabaki majukwaani kumuongelea mkapa.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 16. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
   
 17. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
   
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sumari na ugonjwa wake alichaguliwa saa 6 usiku! Muulize Mzee Makamba aliwahi kukimbia Kule kwa akina Mura usiku wa manane. This time Mwigulu ataondoka saa 5 usiku maana aibu ni kwake! Kwanza keshashindwa maana hajapata mke wa mtu mpaka saa hii! Wanawake wa Kimerudi hawahadaiki na VIJISENTI bana!
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa nini mulimuua
  Nyerere
   
 20. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  kina nani hao walimuua nyerere?
  Rudi kwenye topic ya msingi hayo ya nyerere yana thread yake nenda huko ukapost huu ushabiki

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...