Hamad Rashidi yupo wapi? mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashidi yupo wapi? mbona kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Mar 20, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aliyekuwa mbunge wa Cuf aliyefukuzwa na Baraza kuu la uongozi Taifa kwa kukiuka maadili ya chama na kukimbilia mahakamani, ambaye alikuwa akitengeneza propaganda chafu dhidi ya CUF kwa kutengeneza kadi feki na kuzusha eti wanachama wa cuf wamejitoa chama hicho, tokea kurudi kwa mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani amekuwa hasikiki, taarifa kutoka kwa watu wa karibu ni kwamba anajipanga kwenda kuomba radhi kwa viongozi wa kitaifa, na endapo atakubaliwa ndio itakuwa mwisho wa chama alichokuwa ameanza kukiasisi cha ADC.
   
 2. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  R.i.p cuf
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi mnakuwa mnaadika huku mnakimbia au ni nini?Hamad Rashia ndo nani??
   
Loading...