Kutokana nali ya amani kuendelea kuwa tete arumeru mashariki ninamwomba waziri mwenye dhamana ya maliasili na utalii ajiuzulu mara moja kupisha uchunguzi huru,inakuwaje anaacha mali asili...
Aiseee,kumbe picha tunazoonyeshwa kwenye TV zimechakachuliwa.Mbona wakionyesha kwenye TV watu wanaonekana ni wachache na kamera inaelekezwa sehemu moja tu?Click hii link hapa chini uone...
jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata
huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli
si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na
wengine wamepigwa risasi.jambo hili
haliitaji...
'Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umasikini,ujinga,magonjwa na dhuluma'
Hiyo ilikuwa ni ahadi ya tatu ya TANu ambayo hata JK,Aliikiri.
Lakini utekelezaji wake haupo licha ya kuwa ccm ilirithi...
Ndugu zangu wana JF, TUMESHUHUDIA NA KUSIKIA MENGI YAKIFANYIKA NDANI YA SERUIRIKALI HII DHALIMU YA ccm.Ndani ya utawala huu tumeshuhudia wananchi tukiingia gharama ambazo hakika...
Na Ramadhan Ali-Maelezo
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo na Wanawake wa Baraza la Wawakilishi Hija Hassan Hija amekusudia kupeleka hoja binafsi ya ubadhirifu na rushwa unaofanywa katika shirila...
Written by Harith Ghassany // 22/03/2012 // Habari // No comments
Muungano wa Mkataba utapitaje bila nao kuwa na mtiririko wa Kisheria? Hakuna katika muswada/rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya...
Kuna umuhimu gani kusema Visent Nyerere si ndugu wa marehemu Mwl J K? Ya nini maneno ya kuwa Dr. Slaa kafukuzwa kwa sababu ya kuiba fedha za ujio wa marehem Pope Yohane paulo wa pili-1991?
Hii...
Leo katika jitiada za kupunguza asilimia za joshua kushinda sioi amejichanganya tena kwa kusema kuwa anafahamu vijiji vya arumeru vyote 74 wakati ni 86 maskini ya mungu atumie ile karatasi yake...
Thu, Mar 22nd, 2012
Tanzania | Wed, March 21st 2012
CHADEMA has given the police a 24-hour ultimatum to apprehend suspects who have allegedly been attacking his party's leaders during the...
Nimehudhuria mikutano ya Siyoi kwa kweli confidence hana na anaongea akitetemeka.
Wakati mwingine hali hiyo hupelekea kuchapia maneno kutokana na kuogopa watu, kana kwamba hajawahi kusimama...
Ni taarifa ya habari ya BBC asubuhi hii,waziri wa mashauri ya nje wa kenya Mosses Wetangula kahojia akasema kuwa wanadiplomasia walokuwa ktk mkutano wa 'peace keeping' wameshambuliwa na wengine...
Najua unakazi nyingi na majukumu mengi lakini naomba utiweke kwenye ratiba yako shule ya msingi mashujaa sinza hali ni mbaya sana, shule ni kama haina vyoo kwani vilivyopo haifai kabisa na...
Ndiyo, nasema kweli, kwa wwngi wetu, CCM ndio mzazi, tulizaliwa ndani ya CCM,
CCM Imekuwepo zaidi ya miaka 37 sasa, Huu ni Umri wa mtu mzima.....
CCM hii ndiyo iliyotufikisha hapa.....
Lakini...
Tunatahadharisha nec kuwa pindi watakapochakachua matokeo ya ubunge,tunawaahidi tutatumia faru.....faru ni kifaa chenye waya ndani yake kinafanana na fimbo.huku meru ni kifaa kinachotumika sana...
Wassira alitiwa hatiani na mahakama 1997 kwa kutoa rushwa huko Bunda baada ya kushitakiwa na Jaji Warioba. Then, Kutokana na alikuwa mpinzani na bado alikuwa bora katika mambo ya rushwa basi CCM...
Sidhani kama serkali wanafanye upembuzi yakinifu kabla ya maamuzi sahihi kuchukuliwa, kitaalamu sidhani kama kutakuwa na mantiki kama mwaka huu vitamburisho vya taifa vitatolewa na hapohapo sensa...
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya ludewa bwana Matei kongo hivi karibuni amekumbwa na kashfa mbaya ya rushwa baada ya kupokea kiasi fulani cha pesa kutoka kwa mkandarasi ambaye kwa mda mrefu...
Hatimaye kilio cha wadau wa demokrasia nchini kimesikika, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kutangaza kuajiri watumishi wake wa kudumu kuanzia bajeti ijayo ya serikali ya mwaka 2012/2013...