Wana jf niko huku songoro tuna msubiri dr silaa, mbowe na nasary kwenye shule ya mlala alikosoma na nasary mvua inanyesha sana sugu amehutubia kwenye mvua umati wa waliopo hapa.cjui kama chopa...
Wakuu...Heshima kwenu.
Nipo viwanja vya Kabuhoro kata ya Kirumba jijini Mwanza.Wabunge wa CDM ...Kiwia-Ilemela,Wenje-Nyamagana na Machemuli-Ukerewe..Wamefunika ile mbaya...Ni kwenye kampeni za...
Hii Historia ninauhakika inawaumiza Magamba kila kukicha.Dr W.Slaa alikuwa kada mzuri sana wa CCM na alikuwa na siri nyingi sana za Chama,Kwenye kura za Maoni mwaka 1995 ndani ya CCM kuwania...
Hii inadhihirisha kuna wana CDM ndani ya CCM ila hakuna wana CCM ndani ya CDM.
Najua CCM mnapasua vichwa kila siku kujiuliza ni nani anaye vujisha siri zenu nyeti na harakati zenu za kijasusi kwa...
Napenda kuvipongeza vyama vyote vinavyoshiriki katika kampeni za uchaguzi Jimbo la Arumeru kwa kujitahidi kuyajua na kuyasema mahitaji ya msingi na kero za watu wa eneo husika.
Kuna mambo ambayo...
salam sana wanajamii wenzangu... Napenda kuwaletea taarifa kuwa CCM ndo wamepania kufunika haswa katika kata mama wanayoitegemea kuliko zote kata ya Nkoanrua ambayo katika uchaguzi uliopita...
Written by ole // 24/03/2012 // Habari // 6 Comments
Na B.OLE,
Baada ya miaka zaidi ya nusu karne kupita, tokea Wazanzibar na Zanzibar kupoteza haki yake ya msingi kama Nchi, hatimae Mola...
" cha Mapinduzi, kwa sababu ya uzito wa historia yake, hadhi ya jina lake, mfumo wa wavu wake, mazoea ya watu, na ubovu wa Vyama vya Upinzani, kinaweza kuchaguliwa na Watanzania, pamoja na kansa...
Written by administrator // 24/03/2012 // Makala/Tahariri // No comments
Toleo No 1 23 March 2012
Na Suleiman Al Kindy
Utangulizi
Imetulazimu kutoa mawazo haya kwa kuzingatia ibara ya...
Wakuu heshima;
Leo nimebahatika kuhudhuria mkutano wa CCM uliofanyika katika mtaa wetu na kusimamiwa na viongozi na wahamasishaji mbalimbali katika ngazi ya kata ambapo mambo mbalimbali kichama...
Chama tawala hakiwezi kuepuka lawama za mbinu chafu za kufanya vurugu kwa kutumia watu watakaoonekana ni wa chama tofauti.
1. Tangu mwanzo wamekuwa wakihubiri kuwa vyama vya upinzani ni vya vurugu...
Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kurejesha chama katika mikononi mwa Wananchi na kutekeleza dhana ya Sauti ya Umma, CDM kama chama kikuu cha Upinzani na chenye Ushawishi Mkubwa ndani na nje ya Nchi...
chanzo changu kimeniambia kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 majimbo yote ya mkoa wa kigoma yalidondokea upinzani.
Mchezo mchafu ulifanywa katika yale majimbo machache yaliyotangazwa kuchukuliwa...
kila nikijaribu kutafuta maana nashindwa kuelewa mna maana gani kutuonyeshea dole gumba,Ngoja niwape maana yake katika Body language na mnifananishie na maana yenu.
Maana ya dole kumba ni
Poa...
Mbunge Machachari Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(chadema) ata unguruma leo katika viwanja vya kimara mwisho kuanzia Saa nane mchana.
Wakati huo huo wakazi wafanyabiasha maeneo ya soko la...
wanachama na wakereketwa wa CUF,Hamieni CDM.Ndoa ya CCM na CUF imekiuwa Chama jamani.
Ule msemo usemao CUF ilizaliwa Visiwani na Itafia visiwani umekamika.Maalimu Seif toka apewe shavu,ametulia...
Mboni kimya kingi kuhusu mchakato mzima wa uandikaji wa katiba mpya kwani watanzania tupo kimya tukifuatilia suala hili kwa kina kwani tunatambua katiba n imzingi na mwongozo wa kila mtanzani...
Written by ole // 25/03/2012 // Habari // 1 Comment
Na.B.OLE,
Ushirikiano ni kitu muhimu sana katika maisha ya jamii au Taifa husika katika kuleta usawa na maendeleo kwa wote bila kujali...
Naona wanasiasa wengi wanatangaza nia ya kugombea uraisi kwa mfano; wasira,zitto, sitta na wengine wengi. Kwa mtazamo wangu ni kwamba muda bado sana na najiuliza huko ikulu kuna nini? Naomba...