Wenje,Kiwia,Machemuli watikisa jiji la Mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenje,Kiwia,Machemuli watikisa jiji la Mwanza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Mar 25, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu...Heshima kwenu.

  Nipo viwanja vya Kabuhoro kata ya Kirumba jijini Mwanza.Wabunge wa CDM ...Kiwia-Ilemela,Wenje-Nyamagana na Machemuli-Ukerewe..Wamefunika ile mbaya...Ni kwenye kampeni za udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza...kufuatia kifo cha diwani MANOKO(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu kwa habar! Lakini huku zitto katuchanganya sana sijui ndo ugonjwa wake wa kichwa unamsumbua.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Jitahidi mkuu kuwa unatupia kapicha kamoja kamoja ili hata sisi tuliko huku Msoga kijijini tuburudike mioyoni.
   
 4. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wenje, Machemuli na Mbunge wangu Kiwia kazi moja. Kamata mwizi man.
   
 5. commited

  commited JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Mkuu asante kwa taarifa mujarabu.. lakini tupe hali halisi ikoje, watu , mwitikio umekaaje, tupia vipicha meen, vipi fanyeni tathimini hraka hapo watu wangu mjue je shaada bado wanazo maana huko Arumeru east Magamba wanapumulia kucha.,. wameamua kununua kadi za kupigia kura kwa tsh 100,000/= ili kuwa na watu wachache waliowapanga tayari
   
 6. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Shardcole umechanganywa na nini, ugonjwa wa akili sio wa Zito ila wewe, kwani na wewe ni mbunge wa CCM? manaake naona akili yako kama woooow!
   
 7. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,878
  Likes Received: 2,827
  Trophy Points: 280
  Inaonekana wewe zezeta umetumwa! Amewachanganya wewe na mkeo!
   
Loading...