Je ? Katiba mpya imeishia wapi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ? Katiba mpya imeishia wapi ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shabani mitambo, Mar 25, 2012.

 1. s

  shabani mitambo Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mboni kimya kingi kuhusu mchakato mzima wa uandikaji wa katiba mpya kwani watanzania tupo kimya tukifuatilia suala hili kwa kina kwani tunatambua katiba n imzingi na mwongozo wa kila mtanzani katika shughuli zake za kila siku. Hivyo basi wakilishi wetu ni vema wakati huu mungeweza kutumia wakati wenu kushughulikia suala hili kabla ya bunge la bajeti kuanza ili wizara husika kufafanya tasmini ya gharama mzima kwa zoezi hili ambalo ndio kitovu cha taifa kwa ujumla.
   
Loading...