CUF Hamieni CDM,CCM imesha kiua Chama hakina Nguvu tena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Hamieni CDM,CCM imesha kiua Chama hakina Nguvu tena.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yplus, Mar 25, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanachama na wakereketwa wa CUF,Hamieni CDM.Ndoa ya CCM na CUF imekiuwa Chama jamani.
  Ule msemo usemao CUF ilizaliwa Visiwani na Itafia visiwani umekamika.Maalimu Seif toka apewe shavu,ametulia kama maji ya mtungini.Mmeachwa kama yatima.Karibuni CDM tuendeleze mapambano
  Slogan yetu sasa ni M4C,Tuunganishe nguvu tumtokomeze Magamba...
  Nawasilisha...
   

  Attached Files:

 2. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,921
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  yplus achana kabisa na hayo mawazo CHADEMA siyo dampo Shibuda anatutosha.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  CUF endeleeni kumkatikia kiuno C.C.M huku CDM tuna M4C hatuwataki na shombo zenu za maku.c.c.m kazeni kiuno cuf wajute!
   
Loading...