Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na nakipenda chama changu. Naamini CHADEMA ina nafasi ndogo sana ya kushinda ubunge Arumeru kwa sababu wanaoiunga mkono hawatapiga kura.
Ni ukweli usiopingika...
Watanzania na watu wengine wenye mapenzi mema na nchi yetu wameguswa na mpango wa M4C (Movement for Change) uliozinduliwa na CHADEMA usiku wa tarehe 22 Machi 2012; na baadhi yao wameanza kuchangia...
Ikiwapendaza wakuu;
Magazeti ya leo yamesheheni juu ya Kauli ya Zitto Zuberi Kabwe na nia yake ya Urais ikielezwa kuwa kauli hiyo inaelekea kukigawa Chama Binafsi bado sijaona tatizo lolote...
dr.hildebrand shayo (kulia) akirejesha fomu zake kuwania ubunge wa afrika mashariki kwa ofisa wa ccm katika ofisi ndogo za makao makuu ya chama hicho jijini dar es salaam. Dr. Shayo ni mhadhiri wa...
Bullet Straton Ruhinda
Aprili 14, 2010
NI muda mrefu kidogo sijajitokeza tena kwenye gazeti hili kuandika. Hiyo ni kwa sababu ya kazi nilizokuwa nazifanya nje ya Dar es Salaam, na hivyo...
Wakuu matokeo ya urais yametangazwa nchini Senegal na mpinzani mkuu wa rais aliyekuwa madarakani kwa muda mrefu ametangazwa mshindi.
MY TAKE:
Zambia waliweza, hawa tena wameweza tena...
Lowasa: Alikiambia kikao cha NEC mjini Dodoma,Hakuna jambo nililolifanya ambalo wewe RaisLowasa: Alikiambia kikao cha NEC mjini Dodoma, Hakuna jambo nililolifanya ambalo wewe Rais Kikwete...
Nimefuatilia kwa karibu sana Tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS linalowahamasisha wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho nami nikiwa miongoni mwa wakereketwa wa kuchangia chama hiki ambacho...
It sounds like we finally have something Made in Tanzania
we can be proud of: Chadema
Ha ha ha ha!
Chadema is doing a great job up in Arumeru East, I am told.
I anxiously wait for the ballot...
Majira ya saa kumi jion katika michakato mizima ya kupambana na maisha magumu yaliyo sababishwa na serikali iliopo madarakani,,nika ahairisha shughuli zangu za kiuchumi'na nikahudhuria katika...
Posted on March 25, 2012 by zanzibaryetu
Wazanzibari wakisikiliza viongozi wa Dini ya Kiislamu katika mhadhara uliofanyika katika viwanja vya Alabama Michenzani leo mhadhara ulioandaliwa na...
Bila shaka nitawaudhi baadhi ya Makanda wenzangu akiwemo Zitto Zuberi Kabwe kwa nilikusudialo kuwasilisha.
Kwa kweli kuwa na haki ya
Kidemokrasia ya kusema
utagombea urais haimanishi
Zitto...
WIKI moja kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, sasa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, Sioi Sumari anaelekea kushusha
presha, kwani...
Wameanza mkakati rasmi wa kuchangia chama kwa kutumia mtandao wa zantel. Mpango huo umezinduliwa huko zanzibar na Profesa Lipumba ktk mkutano wa hadhara. Je ni mpango ule ule wa kuiga chadema...
Na Irene Mark
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema chama hicho kimejipanga kutumia rasilimali zake zenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 50 kujiimarisha...
Nimeuliza Arumeru Mashariki lakini kwa ukweli natamani watu wote mnijibu kati ya candidate na Party nini nini kinachochaguliwa. Je? 2010 tulimchagua Slaa au CDM? Je? Upande wa pili walimchagua JK...
Joshua Nassari,mgombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki-CHADEMA si chaguo letu watazamaji,wasikilizaji,wafuatiliaji na washabiki wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi Arumeru Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.