Ni nani anayetoa siri nzito za CCM na kuwapa CDM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani anayetoa siri nzito za CCM na kuwapa CDM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yplus, Mar 25, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii inadhihirisha kuna wana CDM ndani ya CCM ila hakuna wana CCM ndani ya CDM.
  Najua CCM mnapasua vichwa kila siku kujiuliza ni nani anaye vujisha siri zenu nyeti na harakati zenu za kijasusi kwa wana CDM?
  CCM mmekwisha na M4C itawala mbaya,kufikia mwaka 2015 mtakuwa mmebaki mifupa tu...
  Nawasilisha...
   
 2. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nape na Nchemba
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hapa umewasilisha nini? Mimi hata sielewi unaongea kitu gani. Maana husemi ni siri gani za CCM zilivuja kwenda CHADEMA na ni lini.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wasira,mwigulu,mkama,ana makinda,Komba na kingunge ni wanachadema kila siku tunampa siri za c.c.m Dk.slaa.tunaipenda cdm
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli. sioni topic hapa.

   
 6. G

  Gwesepo Senior Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :lock1: mie yangu macho kikulacho kinguoni mwako
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkapa na lowassa
   
 8. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kabla ya kile kikao cha NEC cha CCM kilichotaka kuwafukuza MAFISADI, Kuna kile kikao cha sekretarieti kilichokuwa na wajumbe 9 tu, ila habari zao za ndani walizotaka hata wana CCM wasijue zikavuja zote.
   
 9. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  karibu jf !!!!
   
Loading...