Chadema yavuna zaidi ya shilingi milion 150 katika vuguvugu la mabadiliko ''m4c'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yavuna zaidi ya shilingi milion 150 katika vuguvugu la mabadiliko ''m4c''

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGENDA NGOLOMA, Mar 25, 2012.

 1. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kurejesha chama katika mikononi mwa Wananchi na kutekeleza dhana ya Sauti ya Umma, CDM kama chama kikuu cha Upinzani na chenye Ushawishi Mkubwa ndani na nje ya Nchi kimefanya Kufuru na kuweza kuasisi mpango kabambe ambao umeshaigwa tayari na mahasimu wa kisiasa CCM na tayari wao wametangangaza kufuata mkumbo. Harambee hiyo ambayo haikupewa nafasi katika kufanikiwa kwani ilipangwa kwa haraka na katika muda mbaya wa Kampaini ambapo makada wake wako vitani lakini ilipangwa kwa ustadi na ubunifu mkubwa bila kuathiri mikakati na ratiba ya kampaini. Pamoja na kutokuwepo kwa makada wa chama hicho kama vile Mnyika, Mdee, Wenje,Chiku Abwao, Kasulumbai na makda wengi wa kanda ya Ziwa, lakini nikiri kwamba walifanikiwa kwa asilimia 90% na kuonyesha kuwa CDM ni chama makini na imara na kustahili kubeba matumaini ya watanzania wengi. Hongereni sana viongozi wa juu wa CHADEMA na sisi tukiochangia shilingi mia 500/=, 200/=, 150/= na vocha. Binafsi niwashukuru sana hawa waliochangia kwa kiasi kidogo kwani ni jasho na zenye matumaini ya kweli. Hakika kama hawa watu wangekuwa na uwezo mkubwa wangetoa kwa kiasi kikubwa zaidi.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kabla hatujachangia tunaomba Source mkuu.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Chadema Tumaini jipya, tokomeza mafisadi
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Unataka source ya nini? subiria ya kwenu ndo uulize source
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hata mie nimechaga pia kama rafiki wa Chadema nimechangia laki tatu hakuna ubaya kuuliza.

  Hiyo figure naona kama ndogo sana Sh150 milioni Tanzania nzima?

  Ebu toa milioni 20 za Ndesamburo, Milioni 4 za Mtei laki tatu za Ritz.

  Unataka kuniambia 125'700'000 ndio zimepatikana?
   
 7. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHANZO: Tanzania Daima, Bidiiforum, Jamii forum, Mwananchi Jumapili, CHADEMA blogspot.com sijui unataka source gani tena. Nadhani hata ukiambiwa useme Kijani wakati unaona ni Red utasema?
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh yaani Tshs 150m tu ? kweli muitikio ni mdogo sana sana
   
 9. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  bado tunazidi kuchangia zitapatikana zaidi ya hizo na cham kitaendelea kutakata licha ya siasa chafu za ccm
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  BAVICHA SASA KIPENGA PIEEEEEEEEEEE MPAKA USHINDI MURUA WA HAKI NA UTETEZI WA UTU WA KILA MTANZANIA UPATIKANE BILA ZENGWE ARUMERU MASHARIKI TANGU SASA!!!!!!!!!!!!!

  Askari wetu wa miavuli BAVICHA,

  katika hii wiki ya lala salama Arumeru ni vema kuliko kawaida
  'Dozi ya Siasa za Kistaarabu' mkanyunyiza mtindo wa Igunga kutwa mara tatu kufikisha ujumbe wa ukombozi katika kila lango la kila mpiga kura katika kila kijiji jimboni hapo na hatimaye kuhitimisha kwa mkakati wa kufa mtu katika kudhibiti usalama wa kila kura itakayopigwa siku hiyo.

  Kamanda Heche tunahitaji kuona organisation skills na usimamizi wa kitimu kwa kushirikiana kwa karibu sana na machalii wote wa Arumeru Mashariki (kama Kamanda Vincent Nyerere tangu alivyofanikiwa na msaidizi wake Mchungaji) tangu sasa.

  Kipenga pieeeeee, pipoz pawaaaaa mpaka ushindi kuubeba mbeeeele kama tai huku sote tukishirikiana kwa kila hali kila mahali na kila waka!!!!!!!!!
   
 11. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru 150 M zitasaidia sana kulipia pango na matumizi madogo madogo ya nyumbani. ongera viongozi wa CDM kwa kubuni miradi ya kuwaongezea kipato
   
 12. W

  Wakuti JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  CDM mtauza mpaka karanga na bado.Leteni sera sio kila siku ufisadi hilo tumeshasikia nikisema CDM ni chama cha wanaharakati tu hakuna sera. Nchi haigozwi na wanaharakati lzm muwe na sera mbadara sio ufisadi tu je mkiwathibiti mwananchi wa kijijini atanufahiki kivipi? Toeni sera
   
 13. H

  Haika JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ukitoa wale waliotoa fedha nyingi, ina maana walioto kiasi kidogo ni WENGI sana, hilo ni deni, ni matumaini yangu kuwa hiki chama kina mkakati, ilani, mpango, nia, uwezo wa kuzuia hili wimbi linalowatetea sasa lisijekuwa la kuwafukia baadae.
   
 14. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Miwivu itawamaliza.. Juzi ilikuwa ni intro na bado tunendela kuchanga. Limao!!
   
 15. damper

  damper JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mbona chama kubwa limeisha fanya hayo kabla ya uchaguzi mkuu 2010 na pesa ilipatikana hata mkisema ni haramu/ya mafisadi. Lakini ndo waliisha onyesha njia ambayo leo cdm wanaipita.
   
Loading...