Mnyika Kuunguruma Viwanja vya KIMARA MWISHO LEO...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Mbunge Machachari Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(chadema) ata unguruma leo katika viwanja vya kimara mwisho kuanzia Saa nane mchana.
Wakati huo huo wakazi wafanyabiasha maeneo ya soko la kimara kuelekea king'ongo wakiwa katika kuti kavu baada ya kupewa siku hadi mwisho wa mwezi kuhamisha au kutofanya biashara maeneo hayo.
Swali langu kama hilo eneo si halali kwanini serikali ya mtaa wa kimara imeendelea kuchukua ushuru kwa wafanya biashara hao?
Na wanaofanya kazi ya kukusanya ushuru huo si watumishi wa Serikali?
Source-Gari yao ya matangazo
 
Ana GIRLFRIEND huyo? Mbona alishindwa kumjibu Diva swali kama hilo? Watu wameshaanza kumhisi kuwa ni [s word]
 
Girlfriend anae pande za Wapi kule na kashikwa kweli kweli.
Haya ni mambo binafsi yake haya tuhusu.
 
Poa mazee ngoja turudi kanisani kama vip tukutane hapo majira hayo baadae
 
Ana GIRLFRIEND huyo? Mbona alishindwa kumjibu Diva swali kama hilo? Watu wameshaanza kumhisi kuwa ni [s word]
Wewe mwanamke mbona unawatafutia watu ban? Kwani mnyika kuwa na girlfriend inakuhusu nini? Au ndio unataka akushobokee wewe ili akwae hiyo minyaya yako. Kila ukiona thread inayomhusu mnyika lazima uonekane au alikumwaga unataka kujifariji Kama tumtemeke peleka masaburi yako huko kwa mnzinzi wa iramba.
 
Ana GIRLFRIEND huyo? Mbona alishindwa kumjibu Diva swali kama hilo? Watu wameshaanza kumhisi kuwa ni [s word]

We Radhia, kama unamtaka si useme tu. Wasichana wa siku hizi wapo wazi bana. S-word? Umemjaribu ukaona haisimami?
 
Mbunge Machachari Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(chadema) ata unguruma leo katika viwanja vya kimara mwisho kuanzia Saa nane mchana.
Wakati huo huo wakazi wafanyabiasha maeneo ya soko la kimara kuelekea king'ongo wakiwa katika kuti kavu baada ya kupewa siku hadi mwisho wa mwezi kuhamisha au kutofanya biashara maeneo hayo.
Swali langu kama hilo eneo si halali kwanini serikali ya mtaa wa kimara imeendelea kuchukua ushuru kwa wafanya biashara hao?
Na wanaofanya kazi ya kukusanya ushuru huo si watumishi wa Serikali?
Source-Gari yao ya matangazo

Nilivyokuwa nasoma mambo ya kodi na ushuru nilijifunza kwamba kodi/ushuru unaweza kutozwa hata kwa makahaba na wauza madawa ya kulevya mradi tu ijulikane wamepata kiapato kiasi gani!
 
Kimara, Kimara, Kimara...
Kila siku mikutano Kimara!
Kuna ubungo, msewe, sinza, manzese, mburahati na maeneo kibao kwenye himaya ya Mnyika! But kila mara utasikia anafanya mkutano Kimara! Inamaana hayo maeneo mengine siyo ya jimbo lake? Au kwa vile Kimara kuna wachaga wengi???
 
Wewe kina kuuma nini? Na wewe gombea ujue wapi pazuri pa kufanyia mikutano mara kwa mara.
 
Na wewe mbona unamtetea sana Mnyika? Wanaume wenzako watakushangaa.
Kutaka kujua mnyika ana gal or hana ni kutaka kujua yeye ni rijari au si rijari,kwa taarifa yako gal anae sema hamwezi kumfahamu hata mkifuatilia mtakutana idadi kubwa ya watu wakiwambia ana mademu wengi.
Tukutane kimara nikwambie
 
Umesha-clear supplementary yako ya IT 101?
 
Nilivyokuwa nasoma mambo ya kodi na ushuru nilijifunza kwamba kodi/ushuru unaweza kutozwa hata kwa makahaba na wauza madawa ya kulevya mradi tu ijulikane wamepata kiapato kiasi gani!

Mkuu Kimbunga,
Kimara yote ni squat hakuna mwenye title siku serikali wakiamua kuliendeleza hilo eneo wote watakuwa wavamizi tu.
 
Mbona mnajadili ujinga wakati kuna jambo muhimu la kujadili? Kwani Mnyika kwenda kuhutubia Kimara kuna kosa gani mbona huwa hamsemi wanakwenda kidongo chekundu? hayo ni maeneo yaliyotengwa kwaajili ya kazi hiyo kama mnataka aende sinza ataenda tu......
Lakini hamuoni kuwa anachakuwaambia wafanyabiashara wa kimara nini cha kufanya baada ya kuambiwa wahame.......acheni mambo ya mapenzi hapa mara girl friend inatuhusu nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom