Haraka za kugombea uraisi za nini?

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Naona wanasiasa wengi wanatangaza nia ya kugombea uraisi kwa mfano; wasira,zitto, sitta na wengine wengi. Kwa mtazamo wangu ni kwamba muda bado sana na najiuliza huko ikulu kuna nini? Naomba mchango wenu.
 
Pale ikulu hakuna lolote bali shda tu.viongoz makin hawapakimbilii hao unaowaona wanapapatika kufika pale wachunguze kwa makini..we huon baada ya mwl pale ikulu pamekuwa kama stoo ya nje isiyo na mlango kila mtu anaingia.sasa hv kila m2 anahc aneweza kura rais.wameua taus wote pale...hata wasira!!
 
nadhani ni vema wanaoitaka nafasi hiyo wajitokeze sasa ili tupate muda wa kutrosha kuwapima na kuangalia ni nani miongoni mwao ana sifa tunazozihitaji kwa kiongozi wetu mkuu. Mambo ya kushtukizana dakika za majeruhi yanaweza kutufanya tumchague mtu ambaye hana sifa stahiki. Tukipata muda mwingi wa kuwapima itakuwa vema zaidi, hivyo nawahimiza wote wenye nia, watangaze sasa
 
Naona wanasiasa wengi wanatangaza nia ya kugombea uraisi kwa mfano; wasira,zitto, sitta na wengine wengi. Kwa mtazamo wangu ni kwamba muda bado sana na najiuliza huko ikulu kuna nini? Naomba mchango wenu.

Hao wote wanaojitangaza hawafai
 
Back
Top Bottom