CCM nini Maana ya Dole Gumba mnalotuonyesha Arumeru kwenye Kampeni?

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
kila nikijaribu kutafuta maana nashindwa kuelewa mna maana gani kutuonyeshea dole gumba,Ngoja niwape maana yake katika Body language na mnifananishie na maana yenu.
Maana ya dole kumba ni
Poa
Sawa
Good
Ok
Sasa powa yenu hapa Arumeru ni ipi?
1.Mashamba yetu mmemuuzia Jerome zaidi ya hekari elfu 13
2.Maji yetu ya kunywa Mmepeleka Monduli
3.Toka Uhuru mwaka 1961 barabara yenye lami ndani ya Arumeru Mashariki haizidi km 5 kuanzia kilala kuelekea Nkoranga Hospitali
Hayo ni baadhi tu sasa hili dole Gumba mnamaanisha powa kwa lipi?,tunawavumilia sana ninyi na shukuruni Tz ni nchi ya Kidemokrasia,isingekuwa hivyo,Msingerudi Dar...
Nawasilisha...
 

Attachments

  • Thumb-Finger-1305170.jpg
    Thumb-Finger-1305170.jpg
    19.1 KB · Views: 65
Back
Top Bottom