Mkutano wa chadema songoro shule ya mlala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa chadema songoro shule ya mlala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kijenge, Mar 25, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Wana jf niko huku songoro tuna msubiri dr silaa, mbowe na nasary kwenye shule ya mlala alikosoma na nasary mvua inanyesha sana sugu amehutubia kwenye mvua umati wa waliopo hapa.cjui kama chopa inaweza kutua na hii mvua wananchi wanasema chadema wamekuja na baraka, ccm walipokuja hapa hawakupata watu wakaondoka wakasema watarudi.machali wapo kwenye mvua wanaimba wimbo wa kijana huyu sio ridhi kijana sioi,kazi kweli kweli
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tupe hata video mkuu
   
 3. P

  Pelege Senior Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endelea kutujuza kamanda
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tunaomba ujitahidi kutupatia picha kidogo mkuu, sisi huku Msoga kijijini hatuna njia nyingine ya kupata taarifa zaidi ya JF na RTD
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni vema mkuu jitahidi utupie hapo photos,nasikia magamba wapo Nkwarua ila nao leo mvua inaweza haribu utam.
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hahahahaha siku hizi hamtaki picha mnataka video..
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  simba 1 na es setif 0 dk 30
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengo la Regia Mtema liko wazi kabisa. Alikuwa hodari sana wa kutuma picha. RIP Regia.
   
 9. kijenge

  kijenge Senior Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
   
 10. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  simba kama chadema wana pata goli la 2
   
 11. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  kweli mkuu yaani mpaka wana kera...
   
 12. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
   
 13. m

  matawi JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana jf wengine wana cimu za vitochi sasa picha itapatikanaje, tuvumiliane na tuaminiane katika kipindi hichi cha kutafuta ukombozi wa kweli
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCm wanapiga propaganda kuwa eti cdm wamekwisha wameshafunga mdomo viongozi wote.
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh kweli wajinga wali wao, na waache wafu wawazike wafu wenzao. Cdm kimekuwa Chana cha majungu na mpaka sasa hakuna sera huko arumeru, hiki chama muda si mrefu kitanuka
   
Loading...