Kosa mlilo lifanya CCM Karatu 1995,ndo limewaponza,Mlimtosa Dr W.Slaa

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Hii Historia ninauhakika inawaumiza Magamba kila kukicha.Dr W.Slaa alikuwa kada mzuri sana wa CCM na alikuwa na siri nyingi sana za Chama,Kwenye kura za Maoni mwaka 1995 ndani ya CCM kuwania nafasi ya kugombea Ubunge Karatu,Dr alishinda kwa kishindo lakini wana CCM wakamtosa na kumsimamisha mgombea aliyeshindwa.
Kwa mapenzi ya wana Karatu wakamshauri Dr W.Slaa kusimama kwa tiketi ya CDM,kilichotokea CCM hawakuamini mpaka leo hiyo dhambi inawala usiku na mchana...
Nawasilisha...
 
Attachments

  • Dr.+Slaa.jpg
    Dr.+Slaa.jpg
    12.9 KB · Views: 69
Hii Historia ninauhakika inawaumiza Magamba kila kukicha.Dr W.Slaa alikuwa kada mzuri sana wa CCM na alikuwa na siri nyingi sana za Chama,Kwenye kura za Maoni mwaka 1995 ndani ya CCM kuwania nafasi ya kugombea Ubunge Karatu,Dr alishinda kwa kishindo lakini wana CCM wakamtosa na kumsimamisha mgombea aliyeshindwa.
Kwa mapenzi ya wana Karatu wakamshauri Dr W.Slaa kusimama kwa tiketi ya CDM,kilichotokea CCM hawakuamini mpaka leo hiyo dhambi inawala usiku na mchana...
Nawasilisha...
Mpaka leo hii Dr Slaa hajarudisha kadi ya ccm tunaamini kabisas Dr atarudi ccm kabla ya 2015
 
Sasa hivi udenda unawatoka. Wanatumia kila mbinu kumchafua lakini hawajaweza.

Hii
Historia ninauhakika inawaumiza Magamba kila kukicha.Dr W.Slaa alikuwa
kada mzuri sana wa CCM na alikuwa na siri nyingi sana za Chama,Kwenye
kura za Maoni mwaka 1995 ndani ya CCM kuwania nafasi ya kugombea Ubunge
Karatu,Dr alishinda kwa kishindo lakini wana CCM wakamtosa na
kumsimamisha mgombea aliyeshindwa.
Kwa mapenzi ya wana Karatu wakamshauri Dr W.Slaa kusimama kwa tiketi ya
CDM,kilichotokea CCM hawakuamini mpaka leo hiyo dhambi inawala usiku na
mchana...
Nawasilisha...
 
Let bygones be bygones, huko aliko ni kwema na baraka tupu. Angeingia CCM ingekuwa ni vigumu kuona ubora wake. Mbele kwa mbele
 
Kwahiyo mnakubali kuwa Dr. Slaa ni moto wa kuotea mbali.
Dr. Slaa the only Presidential material in Tanzania.
Mpaka leo hii Dr Slaa hajarudisha kadi ya ccm tunaamini kabisas Dr atarudi ccm kabla ya 2015
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom