Ukweli wa machache nnayo yajua mimi ni huu,
ELIMU:
Ule mradi wa laptop moja kwa kila mwanafunzi umefeli kwa sababu ya Rushwa na ilikuwa ni ndoto kutimia kwani zaidi ya nusu ya shule zao...
Wana JF jana katika kumnadi mgombea wa CCM (Siyoi)Sumari katika kata ya Maji ya Chai,muda mwingi Meneja Kampeni Mwigulu Mchemba alikuwa akijitetea Shutuma zake ndani ya JF,nakusema anamchukia sana...
KATIBU wa Chama cha Wananchi (CUF) na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar,Maalim Seif Shariff Hamad amesema wanachama walioamua kuunda chama kingine baada ya kuvuliwa...
Huu ndio ukweli halisi whether you like or not na ukitaka kuliona hili ni nguvu ambayo MAGAMBA waliitumia Igunga ikiwemo hadi kufikia kuwavamia makamanda wa CHADEMA hotelini na kuwafyatulia...
Wanajamvi,
Napenda kuwashauri ccm watumie akili ya ziada katika kupiga propaganda zao huko Arumeru kwa kuwa janja ya nyani ishagundulika na zaidi sana wanatia aibu sana.
Walianza na Mkapa...
Ni masikitiko makubwa kuona utitiri wa magwiji wa siasa ndani ya CDM wakishindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri. Hadi hii leo wanaendelea kutumia helkopita kama silaha tosha ya kuwavuta wapiga...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemshambulia Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na wabunge wa CCM kwa kile alichodai kuwa ni kuendesha kampeni zilizojaa uongo katika jimbo la Arumeru...
Mwigulu akiwa anautubia wananchi wa kata ya tindikali,maji ya chai anadai eti Nassari hana cha NGo wala nini bali analisha mbwa wa mzungu kwahiyo wananchi wasimkubali.
Mytake.
Mwigulu kampeni...
Hili ni juma la mwisho la kampeni za ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.Baada ya majuma kadhaa ya majungu,makombora na uzushi wa kila aina,sasa umefika wakati wa sera.Vyama vyote vishiriki...
Akiandika kupitia ukurasa wake wa Facebook Mchange anasema Zitto ametumia haki yake na pia ameonyesha uwazi kutangaza dhamira yake ya kugombea urais,na pia akaenda mbali zaidi kwa kusema endapo...
tunapoelekea mwanzo wa mwisho wa kampeni za uchaguzi huko jimboni arumeru nimeshangazwa na kitendo cha wanahabari na taasisi mbalimbali kushindwa kuandaa mdahalo wa wagombea mpaka sasa.thamani au...
nimeshtushwa kusikia kwamba aliyefungua kampeni huko arumeru mashariki ni mheshimiwa rais mstaafu ndugu benjamini mkapa.
Nimejisemea moyoni kwamba hiki chama nguli na kikongwe kimesahau...
Leo hapa katika Kanisa la KKKT USA river maeneo ya Ngaresero alitokea ibadani Edward Lowassa nakulisalimia kanisa kwakua alikua anapita maeneo haya. Pia katika rambirambi alinunu mua kwa tsh...
Ngorongoro conservation imetoa milioni mia 2 kwa ajili ya kampeni za arumeru mash ,wakati wananchi wa ngorongoro hawana hosp wa la zahanati maji na madawati shuleni. Ngorongoro conservetion ni...
Tarehe 22 Machi ni siku ya kimataifa ya maji. Ujumbe wa mwaka huu hapa nchini ni "Maji na Usalama wa Chakula", hata hivyo tunahimizwa kuutafakari ujumbe mpya bila kuelezwa matokeo ya ujumbe wa...
ITV taarifa ya habari saa 2:00 wametutangazia vipolo, yaani wamerudia matukio ya kampeni za MANGAMBA Arumeru za matukio ya jana, Huku wakimuonyesha Martin Shigella akifanya mkutano wa hadhara...
Wadau wenzangu wa jf,hivi tunapozungumzia serikali ya Tanzania,kimantiki huwa tuna maanisha nini hasa ?na hii serikali ni nini hasa na nani hasa mwenye kuimiliki hii serikali?
Kuna wanaozungumza...
kupitia J/F ninaomba wataalam mtusaidie nini haswa tatizo kwa halmashauri zetu? kuendelea kuwa tatizo na hata baada ya reform kubwa ya kuanzia mwaka 1999 kufuatia local gvt reform policy ya 1998...
Juzi usiku CHADEMA ilizindua kampeni ya Vuguvugu la Mabadiliko ambapo wapenzi wa harakati za mabadiliko nchini walikichangia chama hicho sh milioni 150.
Viongozi wa CHADEMA akiwamo Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.