Mheshimiwa Edward Lowasa akimnadi mgombea wa ccm,kijana mtanashati na mjenga hoja za nguvu mheshimiwa Sioi Sumari alisema"Nawaahidi, kuwa sasa matatizo yenu yamekwisha, nimekuja kufunga mjadala...
Ikiwa yamebakia masaa 21 ambayo yanaendelea kupungua ili kufanyika kwa zoezi la uchaguzi wa mwakilishi wa wananchi katika jimbo la arumeru mashariki yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa:- wananchi...
..lengo ili aaibike maana CCM wamepiga kampeni za kudanganya watu! Huu uongo hauvumiliki. Kwa nini wasingeanza kueleza yaliyofanywa na baba yake then yeye aanzie hapo wao wanapiga moja kwa moja...
Wakuu hapa jamvini salaam
Mkutano wa kampeni wa mwisho kwa siku ya leo umefanyika Kata ya Kikatiti, Kijiji cha Kikatiti, ukihutubiwa na Katibu Mkuu, Dkt. Willibrod Slaa, Vincent Nyerere...
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na watu unaonyesha wazi kabisa katika chaguzi ambazo zinategemewa kufanyika kesho kutwa kuanzia ubunge hadi udiwani CDM ina asilimia kubwa ya kuibuka kidedea endapo...
Ndg wananchi ingependeza kama vyombo vya habari hapa nnchini vingeandaa mdahalo wa moja kwa moja kati ya sio na nasary , hi ingesaidia wananchi kupima uwezo wao .
MNAONAJE HILI WAZO WAKUU ?
Hivi katika nchi yetu ambapo ufisadi na ufujaji wa mali na rasilimali za nchi kila taasisi za serikali na umma tunaweza kusema "TUNA TAASISI YA UKAGUZI WA MAHESABU?" Hayo madudu ya ubadhirifu na...
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
Fri, Mar 30th, 2012
Tanzania | Wed, March 30th 2012
CHADEMA's campaign coordinator, Mr Vincent Nyerere
A Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) campaign agent has gone missing in...
Kupitia Television nimeona,:cool2:
1. Kazi nzuri ya walioandaa Majaji, Mc's makini, ukumbi uliopambwa vyema na zawadi zinazofaa.
2. Kwa ujumla, hotuba nzuri ya Mgeni rasmi, Mh. J...
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa...
Katika gazeti la jana la Tanzania Daima kulikuwa na makala hii ya Nkwazi Mhango iliyonisisimua na kunivutia sana. Mimi niko mbali na Dsm na husoma makala kwa njia ya mtandao. Kwa faida ya wengi...
Ninaunga mkono moja kwa moja maneno ya wazee wa CCM akina mzee Kitime,Kaduma na Butiku kuhusu mustakabali wa chama hiki tawala. Ni ukweli usiopingika chama hiki kinaenda kinyume na itikadi...
Baada ya kukwama marekani kwa muda mrefu kutokana na serikali kushindwa kulipia matengenezo sasa ndege hiyo inasemekana itarejea wakati wowote kwa ajili ya kumhudumia rais.
Source: Tanzania Daima
Kenya wana jirani watatu wanaohitaji bandari ya Mombasa
Tanzania ina jirani sita wanaohitaji bandari zetu (Mtwara - Dar - Tanga)
Soma hii na utafakari............
Only a world-class port will...
Wana Arumeru, tarehe moja mnajukumu kubwa sana. Ili watu wa maeneo ambayo yana washabiki wengi wa chama tishio kwake wachanganyikiwe na kushindwa kupiga kura, ujumbe wa kuvuruga watu unaweza...
Ni ukweli usiopingika kuwa chadeam ni chama kikubwa kwasasa lakini hicho sio kigezo cha kukifanya kijione kiko sawa na ccm na kuweza kupambana na ccm ambacho kina mtaji wa mamilioni ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.